-
Ripoti: Maisha ya Waafrika hatarini kutokana na fueli chafu kutoka nchi za Ulaya
Sep 16, 2016 22:12Ripoti mpya iliyotolewa imefichua kuwa mashirika ya nchi za Ulaya yanatumia vibaya viwango vya chini vya ubora wa fueli katika nchi za Afrika kupeleka katika nchi za Afrika Magharibi fueli chafu.
-
Makumi ya Wamalawi watiwa mbaroni nchini Msumbiji
Sep 11, 2016 09:40Raia zaidi ya 60 wa Malawi wametiwa mbaroni nchini Msumbiji na kutupwa jela wakihusishwa na vitendo vya kuvuruga usalama wa nchi hiyo.
-
Nchi za Afrika zasisitiza ulazima wa kuleta mageuzi katika sekta ya kilimo barani humo
Sep 08, 2016 03:30Viongozi wa nchi za Kiafrika wanaokutana katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi wamekubaliana kuboresha hali ya sekta ya kilimo na kuongeza kiwango cha usalama wa chakula barani humo.
-
Iran: Hatuna mipaka katika kuimarisha uhusiano wetu na Afrika
Sep 03, 2016 11:47Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran haina mipaka katika kuimarisha uhusiano wake na bara la Afrika ikiwemo Algeria.
-
Watu watatu wauawa katika machafuko Gabon, mamia watiwa mbaroni
Sep 02, 2016 00:00Machafuko yameendelea kushuhudiwa katika mji mkuu wa Gabon Libreville baada ya kutangazwa matokeo ya uchaguzi wa rais ambayo yamemrejesha tena madarakani Rais Ali Bongo.
-
UNDP yatahadharisha kuhusu usawa wa kijinsia Afrika
Aug 28, 2016 23:34Umoja wa Mataifa umezitolea wito nchi za Kiafrika kufanya jitihada za kujaza pengo la usawa wa kijinsia katika nchi hizo pengo ambalo kila mwaka husababisha hasara ya dola bilioni 95 kwa nguvu za kiuchumi.
-
Afrika ingali na uwezo wa kuvutia uwekezaji
Aug 27, 2016 23:32Waziri Mkuu wa Japan ameanza ziara yake ya siku mbili huko Kenya kwa lengo la kushiriki katika Kongamano la Kimataifa la Tokyo kwa ajili ya Ustawi wa Afrika mashuhuri kama TICAD.
-
UN yaunga mkono juhudi za kuwarejesha nyumbani wakimbizi CAR
Aug 27, 2016 09:22Umoja wa Mataifa umetangaza uungaji mkono wake kwa juhudi za kuwarejesha nyumbani wakimbizi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Rais wa Zambia ataka wapinzani waache fujo
Aug 24, 2016 10:52Rais mteule wa Zambia, Edgar Lungu amewataka wapinzani wa nchi hiyo waache vitendo vya fujo na watumie njia za amani kuelezea malalamiko yao.
-
Sudan: Ni matumaini yetu amani itapatikana karibuni hivi Sudan Kusini
Aug 24, 2016 10:50Waziri wa Habari wa Sudan amesisitizia wajibu wa kufanywa juhudi za makusudi za kukomesha mapigano ya silaha nchini Sudan Kusini na kutatuliwa mgogoro wa nchi hiyo kwa njia ya mazungumzo.