-
UN: Wakulima milioni 23 wanahitajia msaada kusini mwa Afrika
Jul 28, 2016 23:46Umoja wa Mataifa umesema wakulima milioni 23 katika nchi za kusini mwa Afrika wanahitajia msaada wa dharura kwa ajili ya kujiandaa na msimu ujao wa upaliliaji.
-
UN: Mzunguko wa pesa haramu watishia uchumi wa Afrika
Jul 26, 2016 22:12Kamisheni ya Uchumi wa Afrika ya Umoja wa Mataifa (UNECA) imetahadharisha kuwa, mzunguko wa pesa haramu katika akthari ya nchi za Afrika unatishia ukuaji wa uchumi wa bara hilo.
-
Zarif: Njama za Israel na Saudia za kuichafua Iran zimefeli
Jul 26, 2016 12:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel na Saudi Arabia zinaendeleza mradi wa propaganda chafu za kuidhihirisha Iran kuwa ni tishio.
-
UN: Magaidi wa ISIS yamkini wakaenea Afrika baada ya kushindwa Libya
Jul 19, 2016 09:16Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ameonya kuwa magaidi wa kundi la ISIS au Daesh yamkini wakaenea maeneo mengine barani Afrika baada ya kupata pigo kubwa katika mji wa Sirte nchini Libya, ambayo ilikuwa ngome yao.
-
Wake wa wakuu wa nchi za Afrika waahidi kumaliza HIV na Ukimwi ifikapo 2030
Jul 18, 2016 23:52Jumuiya ya Wake wa Wakuu wa Nchi za Afrika ya kupambana na virusi vya HIV vinavyosababisha Ukimwi kwa kifupi (OAFLA) kwa mara nyingine tena imeahidi kuimarisha ushirikiano baina ya wanachama wa jumuiya hiyo kwa ajili ya kupambana na virusi vya HIV na Ukimwi na kusema kuwa, ajenda yao kuu ni kuhakikisha virusi hivyo vinaangamizwa kikamilifu ifikapo mwaka 2030.
-
Ushirikiano wa Togo na Burkina Faso katika vita dhidi ya ugaidi
Jul 18, 2016 23:50Nchi mbili za magharibi mwa Afrika za Togo na Burkina Faso zimesisitizia wajibu wa kushirikiana katika kupambana na ugaidi kwenye eneo lao.
-
UNICEF: HIV/UKIMWI, sababu kuu ya vifo vya vijana Afrika
Jul 18, 2016 03:18Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umesema virusi vya HIV na ugonjwa hatari wa UKIMWI vingali sababu kuu ya vifo vya vijana barani Afrika.
-
Benki ya ADB kuipa msaada wa fedha Sudan Kusini
Jul 16, 2016 23:38Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) imetangaza habari ya kuipa Sudan Kusini msaada wa fedha ili itatuwe matatizo yake ya maji.
-
Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina atembelea Rwanda
Jul 16, 2016 11:32Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, leo Jumamosi ameelekea mjini Kigali Rwanda kwa ajili ya kushiriki mkutano wa nchi za Umoja wa Afrika AU.
-
Sierra Leone: Kuna haja Baraza la Usalama la UN lifanyiwe mageuzi
Jul 02, 2016 23:38Rais Ernest Bai Koroma wa Sierra Leone amesema msimamo wa viongozi wa Afrika kutaka kufanyiwa marekebisho Baraza la Usalama la Umoja Mataifa bado uko pale pale.