VIDEO: Mahojiano ya Radio Tehran na Spika wa Bunge la Kenya
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i16045-video_mahojiano_ya_radio_tehran_na_spika_wa_bunge_la_kenya
Spika wa Bunge la Kenya, Mheshimiwa Justin Muturi yupo hapa mjini Tehran kwa ziara rasmi ya kikazi nchini Iran.
(last modified 2024-06-10T09:25:34+00:00 )
Sep 25, 2016 14:31 UTC

Spika wa Bunge la Kenya, Mheshimiwa Justin Muturi yupo hapa mjini Tehran kwa ziara rasmi ya kikazi nchini Iran.

Akiwa nchini Iran, Justin Muturi amekutana na kufanya mazungumzo na mwenzake, Ali Larijani na pia Rais Hassan Rouhani. Aidha amefanya mazungumzo na mawaziri wa mafuta, biashara na viwanda mbali na kuutemeblea mji wa Shiraz.

Kipande hiki cha video kinaonesha mahojiano aliyofanyiwa na Mubarak Henia mwandishi wa Radio Tehran na Tovuti ya Pars Today punde baada ya mkutano wake na Spika wa Bunge la Iran Ali Larijani siku ya Jumamosi