Familia: Yumkini Mzee Tshisekedi aliuawa
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i25144-familia_yumkini_mzee_tshisekedi_aliuawa
Familia ya Tshisekedi yadai kuwa huenda mwanasiasa huyo mkongwe aliuawa.....
(last modified 2026-01-14T08:12:18+00:00 )
Feb 14, 2017 13:48 UTC

Familia ya Tshisekedi yadai kuwa huenda mwanasiasa huyo mkongwe aliuawa.....

Katika hali ambayo mauaji yanaendelea kushuhudiwa katika maeneo mbali mbali ya Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo, familia ya aliyekuwa kinara wa upinzani nchini humo, marehemu Etienne Tshisekedi imetaka uchunguzi huru na wa kina ufanyike kubaini chanzo cha kifo cha mwanasiasa huyo mkongwe.

Mossi Mwassi ana maelezo zaidi akiripoti kutoka Brazaville……..