-
Juhudi za Afrika Kusini za mashinikizo zaidi ya kimataifa dhidi ya utawala wa Kizayuni
Mar 09, 2024 04:05Kufuatia kuendelea jinai za Israel dhidi ya Wapalestina, Afrika Kusini imewasilisha ombi la dharura katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki ICJ, ikiitaka korti hiyo ya Umoja wa Mataifa ichukue hatua zaidi za dharura dhidi ya Israel, ikisisitiza kuwa utawala huo wa Kizayuni umeendelea kupuuza amri iliyotolewa na chombo hicho cha sheria.
-
Afrika Kusini yaitaka ICJ ichukue hatua za dharura dhidi ya Israel
Mar 06, 2024 23:47Afrika Kusini imewasilisha ombi la dharura katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki ICJ, ikiitaka korti hiyo ya Umoja wa Mataifa ichukue hatua zaidi za dharura dhidi ya Israel, ikisisitiza kuwa utawala huo wa Kizayuni umeendelea kupuuza amri iliyotolewa na chombo hicho cha sheria.
-
Afrika Kusini yatahadharisha kuhusu maafa ya kutisha iwapo mazungumzo ya kusitisha vita Gaza yatafeli
Mar 06, 2024 04:07Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini jana alitahadharisha kuwa maafa ya kutisha yatashuhudiwa Ukanda wa Gaza iwapo mazungumzo kuhusu kuwaachia huru mateka na kusitisha vita katika eneo hilo yatafeli.
-
Afisa wa Afrika Kusini: Nchi za Magharibi hazipasi kuzungumza kuhusu 'haki za binadamu'
Mar 03, 2024 23:00Mohamed Faizal Dawjee, Mshauri wa Mawasiliano na Mkurugenzi wa Zamani wa Vyombo vya Habari wa serikali ya Afrika Kusini amelaani msimamo wa nchi za Magharibi kuhusu vita vya Israel dhidi ya Gaza, na kusema nchi za Magharibi "zimeshiriki katika mauaji ya kimbari ya Wapalestina."
-
A/Kusini inafuatilia utekelezaji wa hukumu ya Mahakama ya ICJ dhidi ya utawala wa Kizayuni
Feb 28, 2024 08:12Serikali ya Afrika Kusini imesisitiza kuhusu kutekelezwa hukumu ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) dhidi ya utawala wa Kizayuni.
-
Afrika Kusini: UN iache undumakuwili katika kulaani ukiukwaji wa haki
Feb 27, 2024 03:59Afrika Kusini imekosoa vikali undumakuwili wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa katika suala la kulaani ukanyagaji wa haki za binadamu duniani.
-
Afrika Kusini yaiasa ICJ iseme ukaliaji wa ardhi za Palestina ni kinyume cha sheria
Feb 20, 2024 09:24Afrika Kusini imeiomba Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) itoe ushauri wa kisheria unaosema kuwa hatua ya Israel ya kukalia kwa mabavu ardhi za Palestina ni kinyume cha sheria.
-
Askari kadhaa wa Afrika Kusini wauawa na kujeruhiwa Kongo DR
Feb 15, 2024 23:17Wanajeshi wawili wa Afrika Kusini wameuawa huku wengine watatu wakijeruhiwa katika shambulizi la bomu lililolenga kambi ya wanajeshi hao mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Ombi la Afrika Kusini kwa Mahakama ya Kimataifa ya Haki kuhusu jinai za Israel katika mji wa Rafah, Gaza
Feb 14, 2024 10:28Serikali ya Afrika Kusini imesema imeiomba Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) kuzingatia iwapo uamuzi wa utawala wa Israel kupanua operesheni za kijeshi Gaza hadi mji wa huko Rafah utahitaji mahakama hiyo kutumia mamlaka yake kuzuia ukiukwaji zaidi wa haki za Wapalestina.
-
Mwanasiasa wa Kiafrika: Baadhi ya nchi za Kiarabu zimekatisha tamaa katika kadhia ya Palestina
Feb 11, 2024 08:41Mwanasiasa na mjukuu wa kiongozi wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, amekosoa uungaji mkono dhaifu wa baadhi ya nchi za Kiarabu kwa watu wanaodhulumiwa wa Palestina.