Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika Kusini

  • Mjukuu wa Mandela: Tutaishtaki Israel katika duru nyingine za kisheria

    Mjukuu wa Mandela: Tutaishtaki Israel katika duru nyingine za kisheria

    Jan 29, 2024 23:13

    Mjukuu wa Nelson Mandela, shujaa na kiongozi wa mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini, amesema kuwa nchi yake itawasilisha mashtaka mengine dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika duru nyingine za kisheria, kama Umoja wa Mataifa na Baraza la Usalama la umoja huo.

  • Iran yaipongeza Afrika Kusini kwa ushindi wake katika mahakama ya ICJ dhidi ya Israel

    Iran yaipongeza Afrika Kusini kwa ushindi wake katika mahakama ya ICJ dhidi ya Israel

    Jan 27, 2024 03:01

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepongeza mafanikio ya kidiplomasia ya Afrika Kusini katika Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu na kuwataka mawaziri wenzake wa mashauri ya kigeni duniani kuunga mkono hatua hiyo ya Afrika Kusini.

  • Mahakama ya ICJ yaionya Israel na kuitaka iache kufanya mauaji ya kimbari Gaza

    Mahakama ya ICJ yaionya Israel na kuitaka iache kufanya mauaji ya kimbari Gaza

    Jan 26, 2024 23:09

    Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) imeiamuru Israel iache vitendo vya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina, na kuchukua hatua za kuwasaidia raia.

  • Afrika Kusini: Mwanamume akiri kuwasha moto ulioua watu 76

    Afrika Kusini: Mwanamume akiri kuwasha moto ulioua watu 76

    Jan 25, 2024 04:02

    Mwanamume mmoja amekamatwa nchini Afrika Kusini na atakabiliwa na makosa 76 ya mauaji baada ya kuuambia uchunguzi kwamba alianzisha moto mbaya ulioteketeza jengo huko Johannesburg mwaka uliomalizika majuzi.

  • Afrika Kusini: Tunataraji ICJ itatoa hukumu ya kesi dhidi ya Israel Ijumaa

    Afrika Kusini: Tunataraji ICJ itatoa hukumu ya kesi dhidi ya Israel Ijumaa

    Jan 24, 2024 23:58

    Afrika Kusini imesema inatazamia hukumu ya kesi dhidi ya utawala haramu wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), kuhusu jinai za mauaji ya kimbari zinazotekelezwa na utawala huo dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza itatolewa Ijumaa ijayo.

  • Kuongezeka uungaji mkono wa kimataifa kwa mashtaka ya Afrika Kusini dhidi ya Israel

    Kuongezeka uungaji mkono wa kimataifa kwa mashtaka ya Afrika Kusini dhidi ya Israel

    Jan 23, 2024 05:01

    Afrika Kusini ikiwa moja ya nchi wanachama wa Mkataba wa Kuzuia na Kuadhibu Uhalifu wa Mauaji ya Kimbari, iliwasilisha shauri la mashtaka dhidi ya Israel kwa Mahakama ya Kimataifa ya Haki mnamo Desemba 29, 2023.

  • Raisi: Iran inaunga mkono kesi ya Afrika Kusini dhidi ya Israel ICJ

    Raisi: Iran inaunga mkono kesi ya Afrika Kusini dhidi ya Israel ICJ

    Jan 22, 2024 04:01

    Rais wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu inaunga mkono uamuzi wa 'busara' na wa 'kihistoria' wa Afrika Kusini wa kuwasilisha kesi dhidi ya utawala haramu wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), kuhusu jinai za mauaji ya kimbari zinazotekelezwa na utawala huo dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.

  • Kesi iliyofunguliwa na A/Kusini dhidi ya Israel yaendelea kuungwa mkono

    Kesi iliyofunguliwa na A/Kusini dhidi ya Israel yaendelea kuungwa mkono

    Jan 21, 2024 23:28

    Kwa mara nyingine tena, Ubelgiji imejiunga kwenye safu ndefu ya waungaji mkono wa hatua ya Afrika ya Kusini ya kufungua kesi dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki ICJ kutokana na jinai zake za kupindukia dhidi ya watoto wachanga, wanawake, vizee na watu wa kawaida huko Ghaza.

  • Cuba yaunga mkono kesi iliyofunguliwa na Afrika Kusini dhidi ya utawala wa Kizayuni

    Cuba yaunga mkono kesi iliyofunguliwa na Afrika Kusini dhidi ya utawala wa Kizayuni

    Jan 18, 2024 06:01

    Bruno Rodríguez Parrilla Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba amesema kuwa Havana inaunga mkono mashtaka yaliyowasilishwa na Afrika Kusini katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) kuhusu mauaji ya kimbari yaliyofanywa na utawala wa Israel dhidi ya watu wa Gaza.

  • Afrika Kusini kuzishtaki Marekani na Uingereza kwa kuhusika na jinai za kivita za Israel Gaza

    Afrika Kusini kuzishtaki Marekani na Uingereza kwa kuhusika na jinai za kivita za Israel Gaza

    Jan 16, 2024 03:35

    Baada ya Afrika Kusini kuwasilisha kesi dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) kwa kuhusika na mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza, mawakili wapatao 50 wa nchi hiyo wanatayarisha mashtaka mengine tofauti dhidi ya serikali za Marekani na Uingereza kwa msingi kwamba, serikali hizo zinahusika katika jinai na uhalifu unaofanywa na jeshi la Israel huko Gaza.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS