Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika Kusini

  • Rais Ramaphosa ataka Afrika ianze kujizalishia chanjo ya Covid-19

    Rais Ramaphosa ataka Afrika ianze kujizalishia chanjo ya Covid-19

    Apr 13, 2021 02:21

    Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesema bara la Afrika linahitaji ujuzi na uwezo wa kujitengenezea chanjo za kupambana na ugonjwa wa Covid-19, wakati huu ambapo bara hilo linakumbwa na uhaba mkubwa wa chanjo hizo.

  • Raia 50 wa Afrika Kusini watoweka kufuatia shambulio la kigaidi Msumbiji

    Raia 50 wa Afrika Kusini watoweka kufuatia shambulio la kigaidi Msumbiji

    Apr 04, 2021 06:28

    Afrika Kusini imesema raia wake zaidi ya 50 hawajulikani walipo mpaka sasa baada ya magaidi kuvamia na kuudhibiti mji wa Pwani wa Palma nchini Msumbiji, huku taarifa zikisema kuwa makumi ya watu wameuawa katika shambulio hilo.

  • Jaji Mkuu Afrika Kusini atakiwa kuomba radhi kwa kutoa matamshi yanayoiunga mkono Israel

    Jaji Mkuu Afrika Kusini atakiwa kuomba radhi kwa kutoa matamshi yanayoiunga mkono Israel

    Mar 05, 2021 04:43

    Tume ya Mahakama za Afrika Kusini imemwamuru Jaji Mkuu wa nchi hiyo kuomba radhi na kutengua matamshi aliyotoa mwaka jana ambayo yalitambuliwa kuwa yanauunga mkono utawala ghasibu wa Isarel, katika nchi hiyo ya Kiafrika inayotetea watu wanaodhulumiwa wa Palestina.

  • Afrika Kusini: Chanjo ya corona ya AstraZeneca inavunja moyo

    Afrika Kusini: Chanjo ya corona ya AstraZeneca inavunja moyo

    Feb 17, 2021 07:13

    Waziri wa Afya wa Afrika Kusini amesema amevunjwa moyo na taathira ndogo ya chanjo ya corona ya AstraZeneca kwa virusi vipya vya corona.

  • Rais wa Afrika Kusini atangaza juhudi za kufufua uchumi nchini humo

    Rais wa Afrika Kusini atangaza juhudi za kufufua uchumi nchini humo

    Feb 14, 2021 00:16

    Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ametangaza habari za juhudi kubwa zinazofanywa na serikali yake za kufufua uchumi wa nchi hiyo ulioathiriwa vibaya na maambukizi ya kirusi hatari cha corona.

  • Jeshi la Afrika Kusini laruhusu askari wanawake wa Kiislamu kuvaa hijabu kazini

    Jeshi la Afrika Kusini laruhusu askari wanawake wa Kiislamu kuvaa hijabu kazini

    Jan 29, 2021 04:22

    Jeshi la Afrika Kusini limefanyia marekebisho kanuni zake za uvaaji na sasa limewaruhusu askari wanawake wa Kiislamu nchini humo kuvalia vazi la stara la hijabu wakiwa kazini.

  • Maelfu wakamatwa Afrika Kusini kwa kutovaa barakoa

    Maelfu wakamatwa Afrika Kusini kwa kutovaa barakoa

    Jan 13, 2021 23:10

    Polisi ya Afrika Kusini imewatia mbaroni maelfu ya watu waliokutwa katika maeneo ya umma bila barakoa.

  • Afrika Kusini: Tuko tayari kuisaidia Marekani katika ukabidhianaji madaraka kwa njia ya amani

    Afrika Kusini: Tuko tayari kuisaidia Marekani katika ukabidhianaji madaraka kwa njia ya amani

    Jan 11, 2021 08:40

    Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesema kuwa nchi yake iko tayari kuipatia Marekani uzoefu wake katika uga wa kuhitimisha kipindi cha utawala wa ubaguzi wa rangi na kukabidhi madaraka kwa njia ya amani.

  • UK: Aina mpya ya virusi vya corona imetokea Afrika Kusini

    UK: Aina mpya ya virusi vya corona imetokea Afrika Kusini

    Dec 24, 2020 04:43

    Waziri wa Afya wa Uingereza amesema spishi mpya ya kirusi cha corona iliyogunduliwa nchini humo na inayoambukiza na kuenea kwa kasi kubwa zaidi iliibukia nchini Afrika Kusini.

  • UN: Ahadi za kurejesha amani CAR zitimizwe kikamilifu

    UN: Ahadi za kurejesha amani CAR zitimizwe kikamilifu

    Nov 01, 2020 07:55

    Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia operesheni za kulinda amani Jean-Pierre Lacroix amesema ahadi za kurejesha amani huko Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) zinapaswa kutimizwa kikamilifu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS