-
Afrika Kusini yaomba radhi kwa matamshi ya 'kufuru' ya polisi katika uvamizi wa msikiti
Apr 27, 2020 07:20Waziri wa Polisi wa Afrika Kusini, Bheki Cele ameomba radhi kwa maneno ya "kufuru" yaliyotolewa na polisi kwa Waislamu waliokuwa wakitekeleza ibada ya Swala wakati polisi hao alipovamia msikiti wakitekeleza marufuku ya shughuli zote katika kipindi hiki cha maambukizi ya virusi vya corona.
-
Kesi za corona Afrika Kusini zapindukia 1,000, vifo vya kwanza vyaripotiwa nchini humo na Kenya
Mar 27, 2020 03:43Idadi ya watu waliothibitishwa kuambukizwa ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya corona nchini Afrika Kusini imeongezeka na kupindukia watu 1000.
-
Afrika Kusini kujenga uzio katika mpaka wake na Zimbabwe
Mar 20, 2020 09:57Serikali ya Afrika Kusini imesema inajiandaa kujenga uzio wa kilomita 40 katika mpaka wa nchi hiyo na Zimbabwe, kwa lengo la kuzuia wahamiaji haramu kuingia nchini humo, na pia kuzuia kuenea kwa ugonjwa wa Corona nchini humo.
-
Walioambukizwa corona Kenya wafika 7, Afrika Kusini wafika 85
Mar 18, 2020 09:24Waathiriwa wa kirusi cha corona nchini Kenya wamefikia watu saba baada ya watu wengine watatu kuthibitishwa kuambukizwa kirusi hicho.
-
Corona yaingia Afrika Kusini, Rais Ramaphosa atoa kauli
Mar 05, 2020 22:56Afrika Kusini imekuwa nchi ya hivi punde ya chini ya jangwa la Sahara barani Afrika kuthibitisha kuwa na mtu anayeugua homa inayosababishwa na virusi vya Corona (Covid-19).
-
Rais wa Sudan Kusini atekeleza takwa la upinzani, apunguza idadi ya majimbo
Feb 16, 2020 04:40Afrika Kusini imepongeza hatua ya Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini ya kupunguza idadi ya majimbo nchini, moja ya matakwa makuu ya upinzani unaoongozwa na Riek Machar, kwa ajili ya kuundwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa.
-
Mke wa Waziri Mkuu wa Lesotho afikishwa mahakama kwa kumuua mke wake wa kwanza
Feb 06, 2020 03:38Mke wa Waziri Mkuu wa Lesotho, Thomas Thabane alipandishwa kizimbana jana kwa tuhuma za kumuua mkwe wa kwanza wa kiongozi huyo siku mbili kabla ya mumewe hajababidhiwa ofisi mwaka 2017.
-
Mahakama ya Afrika Kusini yatoa waranti ya kukamatwa Jacob Zuma
Feb 04, 2020 21:43Mahakama nchini Afrika Kusini imetoa waranti ya kukamatwa rais wa zamani wa nchi hiyo Jacob Zuma anayeandamwa na kesi ya ufisadi katika mauzo ya silaha zilizokuwa na thamani ya dola bilioni mbili.
-
Wananchi wa Afrika Kusini wamuomboleza na kumuenzi shahidi Qassim Soleimani
Jan 11, 2020 10:14Shakhsia wa kisiasa, kiutamaduni na Waislamu nchini Afrika Kusini wamemkumbuka, kumuenzi na kumuomboleza Luteni Jenerali Qassim Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (SEPAH).
-
ANC yailaani Marekani kwa kumuua Lt. Jen. Qassem Soleimani
Jan 07, 2020 00:58Chama tawala cha ANC cha Afrika Kusini kimetoa taarifa na kulaani hujuma ya Jeshi la Marekani ambayo ilipelekea kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Qods cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC)