-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Afrika Kusini wakutaka mjini Pretoria
Jun 12, 2018 23:53Dk Muhammad Javad Zarif, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran usiku wa kuamkia leo ameonana na waziri mwenzake wa Afrika Kusini na kujadiliana naye masuala muhimu ya pande mbili.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran kukutana na Rais wa Afrika Kusini
Jun 12, 2018 04:17Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran ameelekea Afrika Kusini akiongoza ujumbe wa kisiasa na kiuchumi.
-
Mada za milipuko zagunduliwa katika msikiti wa Imam Hussein AS Durban Afrika Kusini
May 14, 2018 02:59Polisi nchini Afrika Kusini imegundua kifurushi kinachosadikiwa kuwa mada za milipuko katika msikiti wa Imam Hussein AS katika mji mdogo wa Verulam nje ya Durban msikiti ambao juma lililopita ulivamiwa na magaidi.
-
Iran yalaani shambulizi dhidi ya Waislamu msikitini Afrika Kusini
May 12, 2018 03:05Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali shambulizi la hivi karibuni dhidi ya msikiti mmoja karibu na mji wa Durban nchini Afrika Kusini.
-
Afrika Kusini yaunga mkono mapatano ya nyuklia ya Iran, yakosoa Marekani kujiondoa
May 10, 2018 23:33Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ametangaza kuwa nchi yake inaunga mkono mpatano ya nyuklia ya Iran yajulikanayo kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekeelzwaji, JCPOA, huku akikosoa uamuzi wa Marekani kujiondoa katika mapatnao hayo.
-
Imamu akatwa shingo na kuuawa katika hujuma msikitini Afrika Kusini
May 10, 2018 23:02Magaidi wakufurishaji wameuvamia msikiti karibu na mji wa Durban Afrika Kusini na kumua shahidi Imamu kwa kumkata shingo na kuwajeruhi waumini wengine kadhaa.
-
Mabadilishano ya kibiashara kati ya Iran na Afrika Kusini yawekewa lengo la dola bilioni moja ifikapo mwaka 2020
May 06, 2018 22:30Mkurugenzi Mkuu wa masuala ya nchi za Kiarabu na Kiafrika wa Shirika la Ustawi wa Biashara la Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Afrika Kusini zimeweka lengo la kustawisha mabadilishano ya kibiashara baina yao na kufikia kiwango cha dola bilioni moja ifikapo mwaka 2020.
-
Machafuko ya Afrika Kusini yamlazimisha Ramaphosa kukatisha ziara yake UK
Apr 20, 2018 23:07Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amelazimika kukatisha ziara yake nchini Uingereza na kurejea nyumbani ili kwenda kukabiliana na machafuko.
-
Kulazimishwa kujiuzulu Jacob Zuma kumezusha mgogoro wa kisiasa Afrika Kusini
Apr 07, 2018 11:26Kitendo cha kulazimishwa Jacob Zuma kujiuzulu urais kabla ya kumalizika muda wake huko Afrika Kusini si tu kimekiathiri chama tawala cha ANC, lakini pia kimezusha mgogoro wa kisiasa nchini humo.
-
Kesi ya Jacob Zuma yaakhirishwa hadi Juni 8
Apr 06, 2018 23:21Kesi inayomkabili Jacob Zuma Rais wa zamani wa Afrika Kusini ya ufisadi wa mali ya umma unaohusiana na kashfa ya silaha jana iliakhirishwa na sasa inatarajiwa kusikilizwa tena Juuni 8 mwaka huu.