-
ANC yamkana Jacob Zuma katika kesi ya ufisadi
Mar 26, 2018 03:29Katibu Mkuu wa chama cha ANC, Ace Magashule amesema kuwa, chama hicho tawala cha Afrika Kusini hakihusiki na vitendo vya ufisadi vinavyodaiwa kufanywa na rais wa zamani wa nchi hiyo, Jacob Zuma.
-
Nchi za kusini mwa Afrika kushirikiana kupambana na Listeria
Mar 16, 2018 03:53Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi Kusini mwa Afrika (SADC) zimekubaliana kushirikiana kupambana na ugonjwa wa listeriosis ulioibuka nchini Afrika Kusini.
-
Ramaphosa ameazimia kutatua suala la ardhi mara moja na kwa ajili ya wote
Mar 01, 2018 12:05Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesema leo kuwa anataka mazungumzo kuhusu mjadala uliozua wasiwasi wa utaifishaji wa ardhi yajiepushe na kuibua hali yoyote ya hofu na kwamba mazungumzo hayo yana lengo la kulipatia ufumbuzi mara moja na kwa ajili ya wote suala la kutokuwepo mlingano wa kitaifa katika umiliki wa ardhi.
-
Waendesha mashtaka wa Afrika Kusini kutangaza uamuzi kuhusu tuhuma za ufisadi zinazomkabili Zuma
Feb 26, 2018 10:54Waendesha mashtaka wa serikali ya Afrika Kusini wanatazamia kutangaza katika muda wa wiki mbili zijazo iwapo watazirejesha tena tuhuma zinazomkabili Jacob Zuma, rais wa nchi hiyo aliyejiuzulu hivi karibuni au la.
-
Rais Rouhani wa Iran ampongeza Ramaphosa, Rais mpya wa Afrika Kusini
Feb 26, 2018 10:42Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtumia salamu za pongezi Cyril Ramaphosa kufuatia kuchaguliwa kwake kuwa Rais wa Afrika Kusini.
-
Rais wa Afrika Kusini atoa mkono wa pole kufuatia ajali ya ndege ya Iran
Feb 23, 2018 04:19Rais mpya wa Afrika Kusini ametoa mkono wa rambirambi kufuatia kuanguka ndege ya abiria Jumapili asubuhi hapa Iran na kuua watu wote 66 waliokuwemo kwenye ndege hiyo.
-
Ramaphosa aahidi kuwapokonya mashamba wazungu, Afrika Kusini
Feb 22, 2018 23:32Rais mpya wa Afrika Kusini ameahidi kwamba atatwaa mashamba ya kilimo yanayomilikiwa na wazungu nchini humo tangu mwaka 1600 na kuyagawa kwa wazalendo wa nchi hiyo.
-
Kituo cha polisi chashambuliwa Afrika Kusini, polisi wauawa
Feb 21, 2018 10:58Watu waliokuwa na silaha wameshambulia kituo cha polisi katika mji mdogo wa Nqcobo nchini Aftrika Kusini na kuua polisi wasiopungua 5 na mwanajeshi mmoja.
-
Ramaphosa kufanya mabadiliko baraza la mawaziri Afrika Kusini
Feb 20, 2018 23:43Rais mpya wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amesema sasa umewadia wakati wa kufanya mabadiliko katika baraza la mawaziri huku kukiwa na tetesi kuhusu kuendelea au kutoendelea kubakia Waziri wa Fedha, Malusi Nkanyezi Gigaga.
-
Ramaphosa achaguliwa kuwa Rais mpya wa Afrika Kusini
Feb 15, 2018 12:51Bunge la Afrika Kusini limemchagua Cyril Ramaphosa ambaye ni Mwenyekityi wa chama tawala cha ANC kuwa rais mpya wa nchi hiyo.