-
Afrika Kusini yatangaza ukame kuwa janga la kitaifa
Feb 13, 2018 23:23Afrika Kusini imetangaza ukame unaoikumba nchi hiyo kuwa janga la kitaifa kutokana na hali mbaya inayoikumba nchi hiyo baada ya mvua kukosa kunyesha ipasavyo kwa muda wa miaka mitatu mfululizo.
-
Chama tawala Afrika Kusini chamwamuru Rais Zuma aachie madaraka; atatangaza msimamo wake kesho
Feb 13, 2018 13:19Chama tawala nchini Afrika Kusini ANC kimemwamuru Rais wa nchi hiyo Jacob Zuma ajiuzulu kama kiongozi wa nchi, baada ya mazungumzo marefu ya kuamua hatima ya kiongozi huyo ambaye kipindi cha uongozi wake kilichogubikwa na kashfa za ufisadi kimelitia doa na kuligawa taifa hilo katika enzi za baada ya utawala wa ubaguzi wa rangi wa Apatheidi.
-
Kupatiwa Rais Zuma wa Afrika Kusini masaa 48 ya kujiuzulu
Feb 13, 2018 09:38Kufuatia kushtadi mgogoro nchini Afrika Kusini, chama tawala cha cha ANC kimempatia Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo masaa 48 ili ajiuzulu au ajiandae kuachia ngazi.
-
Afrika Kusini yachunguza ukandamizaji wa askari wake DRC
Feb 13, 2018 04:48Jeshi la Afrika Kusini limeanzisha uchunguzi kuhusu madai ya ukandamizaji na ukiukaji wa haki za binadamu uliofanywa na askari wake katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Thamani ya sarafu ya Afrika Kusini yaporomoka, ANC kumuondoa Zuma ofisini kwa nguvu
Feb 13, 2018 04:35Thamani ya sarafu ya Afrika Kusini (rand) imeporomoka baada ya chama tawala nchini humo ANC kutishia kuwa kitamuondoa ofisini kwa nguvu Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo.
-
Rais Zuma wa Afrika Kusini apewa masaa 48 ajiuzulu
Feb 12, 2018 23:40Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amepewa masaa 48 awe ameachia ngazi, baada ya kufanyika mkutano wa dharura wa chama tawala ANC.
-
Ramaphosa aahidi kutomvumilia fisadi yoyote Afrika Kusini
Feb 12, 2018 04:13Mwenyekiti Taifa wa chama tawala cha ANC cha Afrika Kusini ameahidi kupambana vikali na mafisadi na kutomvumilia mbadhirifu yeyote wa mali ya umma.
-
Mazungumzo kuhusu hatima ya Rais Zuma yanaendelea nchini Afrika Kusini
Feb 11, 2018 11:37Mazungumzo kuhusu hatima ya Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini yanaendelea huku duru za karibu na mazungumzo hayo zikisema kwamba, kuna masuala mbalimbali yanayojadiliwa katika mazungumzo hayo lakini ajenda kuu ni kuhusu suala la kujiuzulu Zuma.
-
Mwenyekiti wa ANC akanusha uvumi wa kupatiwa Rais Zuma kinga ya kutoshtakiwa
Feb 10, 2018 04:21Mwenyekiti wa Chama tawala nchini Afrika Kusini cha ANC amekanusha taarifa za kupatiwa kinga ya kutoshtakiwa Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo.
-
ANC: Hatima ya Jacob Zuma itajulikana siku chache zijazo
Feb 08, 2018 03:45Mwenyekiti Taifa wa chama tawala cha ANC cha Afrika Kusini amesema kuwa, hatima ya Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo itajulikana siku chache zijazo.