-
Mripuko wa kipindupindu waua watu 479 nchini Nigeria
Jul 28, 2021 11:16Mamia ya watu wameripotiwa kuaga dunia kutokana na mripuko wa maradhi ya kipindupindu nchini Nigeria.
-
Mripuko wa ugonjwa wa kipindupindu waua 50 nchini Nigeria
Apr 07, 2021 03:29Makumi ya watu wameripotiwa kuaga dunia kutokana na mripuko wa maradhi ya kipindupindu nchini Nigeria.
-
Sudan Kusini kuwapa chanjo ya Polio watoto milioni 2.8
Feb 26, 2021 07:54Wizara ya Afya ya Sudan Kusini kwa kushirikiana na Shirika la Afya Duniani WHO na Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF inaendesha kampeni ya kuwapa chanjo ya ugonjwa wa kupooza (Polio) watoto milioni 2.8 nchini humo.
-
Mripuko mpya wa tauni waua watu 31 Kongo DR
Feb 20, 2021 13:26Mripuko mpya wa ugonjwa angamizi wa tauni umeibuka kaskazini mashariki Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambapo hadi sasa watu zaidi ya 30 wanaripotiwa kupoteza maisha.
-
Pelosi ataka faili la hali ya kiafya ya Trump liwekwe wazi, Trump asema ni kichaa
Oct 10, 2020 02:32Spika wa Kongresi ya Marekani Nancy Pelosi amesema kuwa Wamarekani wana haja ya kujua hali ya kiafya ya Rais Donald Trump akiashiria maradhi yake ya virusi vya corona na kulazwa hospitalini kwa siku kadhaa.
-
Waziri wa Mafuta Yemen: Wasaudi wamepora mamilioni ya mapipa ya mafuta ya Yemen
Jul 26, 2020 13:39Waziri wa Mafuta wa Yemen amesema, kwa miaka kadhaa ya karibuni, muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia pamoja na mamluki wao wamepora akiba kubwa ya mafuta ya nchi hiyo.
-
Ripoti: Saudia Arabia imeharibu hospitali na zahanati 300 nchini Yemen katika wiki kadhaa zilizopita
Jun 21, 2020 11:36Waziri wa Afya wa Yemen ametangaza kuwa, katika wiki kadhaa zilizopita mashambulizi ya Saudi Arabia na washirika wake yameharibu hospitali na zahanati zaidi ya 300, sambamba na kushadidi maambukizi ya virusi vya corona nchini Yemen.
-
Madaktari wasio na mipaka watahadharisha kuhusu kusambaratika mfumo wa afya na tiba Yemen
Jun 14, 2020 10:32Mkuu wa wahudumu wa Jumuiya ya Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) huko Yemen amesema kuwa hali ya kiafya na kitiba katika nchi hiyo iliyokumbwa na vita imezidi kuwa ya hatari kutokana na maambukizi ya virusi vya corona.
-
Baada ya vitisho, hatimaye Trump akata uhusiano na WHO
May 30, 2020 08:10Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza kukata uhusiano na Shirika la Afya Duniani WHO, akidai kuwa taasisi hiyo ya kimataifa ni kikaragosi cha China.
-
Trump atishia kujiondoa WHO, asema shirika hilo ni kikaragosi cha China
May 19, 2020 07:39Rais Donald Trump wa Marekani ametishia kuiondoa Marekani kwenye Shirika la Afya Duniani WHO, akidai kuwa taasisi hiyo ya kimataifa ni kikaragosi cha China.