Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

afya

  • Madaktari wasio na mipaka watahadharisha kuhusu kusambaratika mfumo wa afya na tiba Yemen

    Madaktari wasio na mipaka watahadharisha kuhusu kusambaratika mfumo wa afya na tiba Yemen

    Jun 14, 2020 10:32

    Mkuu wa wahudumu wa Jumuiya ya Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) huko Yemen amesema kuwa hali ya kiafya na kitiba katika nchi hiyo iliyokumbwa na vita imezidi kuwa ya hatari kutokana na maambukizi ya virusi vya corona.

  • Baada ya vitisho, hatimaye Trump akata uhusiano na WHO

    Baada ya vitisho, hatimaye Trump akata uhusiano na WHO

    May 30, 2020 08:10

    Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza kukata uhusiano na Shirika la Afya Duniani WHO, akidai kuwa taasisi hiyo ya kimataifa ni kikaragosi cha China.

  • Trump atishia kujiondoa WHO, asema shirika hilo ni kikaragosi cha China

    Trump atishia kujiondoa WHO, asema shirika hilo ni kikaragosi cha China

    May 19, 2020 07:39

    Rais Donald Trump wa Marekani ametishia kuiondoa Marekani kwenye Shirika la Afya Duniani WHO, akidai kuwa taasisi hiyo ya kimataifa ni kikaragosi cha China.

  • WHO yatangaza mlipuko mpya wa ugonjwa wa Polio nchini Niger

    WHO yatangaza mlipuko mpya wa ugonjwa wa Polio nchini Niger

    Apr 29, 2020 12:42

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa Niger imekumbwa na mlipuko mpya wa ugonjwa wa kupooza viungo vya mwili wa Polio, baada ya kusimamishwa utoaji wa chanjo ya ugonjwa huo kufuatia mlipuko wa janga la Corona.

  • Mawaziri wa Afya wa G20 wakiri: Mfumo wa afya duniani ni dhaifu, wajadili njia za kuuimarisha

    Mawaziri wa Afya wa G20 wakiri: Mfumo wa afya duniani ni dhaifu, wajadili njia za kuuimarisha

    Apr 21, 2020 06:09

    Mawaziri wa Afya wa nchi wanachama katika G20 walioshiriki kwenye mkutano uliofanyika kwa njia ya video wamechunguza athari mbaya za mlipuko wa virusi vya corona na kukiri kwamba, mfumo wa afya duniani ni dhaifu na kwamba mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona umeweka wazi uhakika huo.

  • Kianoush Jahanpour: Zaidi ya watu 2100 wapona virusi vya corona nchini Iran

    Kianoush Jahanpour: Zaidi ya watu 2100 wapona virusi vya corona nchini Iran

    Mar 08, 2020 13:34

    Wizara ya Afya ya Iran imetangaza kuwa, hadi sasa zaidi ya watu 2100 walioambukizwa virusi vya corona hapa nchini wamepona na kuruhusiwa kutoka hospitalini.

  • Lassa yaingia Lagos, idadi ya waliokufa kwa homa hiyo Nigeria yapindikua 100

    Lassa yaingia Lagos, idadi ya waliokufa kwa homa hiyo Nigeria yapindikua 100

    Feb 21, 2020 02:42

    Kesi ya kwanza ya mlipuko wa homa ya Lassa imethibitishwa katika mji mkuu wa kibiashara wa Nigeria, Lagos huku idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na ugonjwa huo nchini humo ikiongezeka.

  • Uvutaji sigara huongeza masaibu baada ya upasuaji

    Uvutaji sigara huongeza masaibu baada ya upasuaji

    Jan 22, 2020 01:04

    Wavutaji wa sigara au bidhaa za tumbaku wako katika hatari kubwa ya kupata masaibu na matatizo zaidi baada ya kufanyiwa upasuaji kuliko wasiovuta bidhaa hizo.

  • Mlipuko wa ugonjwa wa surua waua watu 70 Samoa

    Mlipuko wa ugonjwa wa surua waua watu 70 Samoa

    Dec 10, 2019 07:37

    Umoja wa Mataifa umesema mlipuko wa ugonjwa wa surua (measles) umeua makumi ya watu katika kisiwa cha Samoa kilichoko katika Bahari ya Pacific.

  • WHO: Malaria ingali tishio, yaua mtoto mmoja katika kila dakika 2

    WHO: Malaria ingali tishio, yaua mtoto mmoja katika kila dakika 2

    Dec 04, 2019 07:12

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema ugonjwa wa malaria ungali tishio kubwa linalowaathiri mamilioni ya watu kila mwaka kote duniani hususan katika nchi za Afrika.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS