-
Homa ya mapafu (pneumonia) inaua mtoto mmoja katika kila sekunde 39
Nov 12, 2019 04:30Taasisi za afya duniani zimeripoti kuwa, homa ya mapafu (pneumonia) inaua mtoto mmoja katika kila sekunde 39, na kwamba ugonjwa huo uliua watoto laki nane mwaka jana pekee.
-
Uganda yawapa chanjo ya surua na polio watoto milioni 18
Oct 16, 2019 04:02Wizara ya Afya ya Uganda kwa kushirikiana na Shirika la Afya Duniani WHO zinatazamiwa kuanza kuwapa chanjo za surua (measles) na ugonjwa wa kupooza (polio) watoto milioni 18 wenye chini ya umri wa miaka 15 nchini humo.
-
Homa ya Dengue yaua watu wanne nchini Tanzania
Jun 21, 2019 09:55Serikali ya Tanzania leo Ijumaa imetoa kauli Bungeni kuhusu homa ya Dengue na kubainisha kwamba, tangu mwezi Januari hadi Juni mwaka huu 2019, watu wanne wamefariki dunia huku maelfu ya wengine wakiwa wameugua ugonjwa huo.
-
WHO: Matumizi ya tumbaku yanaua watu milioni 8 kila mwaka duniani
May 30, 2019 21:59Shirika la Afya Duniani WHO limesema watu zaidi ya milioni nane wanafariki dunia kila mwaka kutokana na matumizi ya tumbaku kote duniani, kutoka milioni saba mwaka 2017.
-
WHO kutangaza karibuni kuwa Afrika imetokomeza ugonjwa wa Polio
May 29, 2019 03:35Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kuwa huenda likatangaza karibuni hivi kuwa bara Afrika halina tena ugonjwa wa kupooza wa Polio.
-
Ugonjwa wa TB waua watu 4,500 kila siku, WHO yaazimia kuutokomoeza
Mar 21, 2019 04:30Ugonjwa wa kifua kikuu au TB huua watu 4,500 kila siku duniani na Shirika la Afya Duniani WHO, limeazimia kutokomeza ugonjwa huo sugu.
-
Homa ya Manjano yaua watu 10 nchini Ethiopia
Nov 06, 2018 04:33Shirika la Afya Duniani WHO limetangaza kuwa watu 10 wamepoteza maisha kutokana na Homa ya Manjano kusini magharibi Ethiopia.
-
Homa ya Lassa imeshaua zaidi ya watu 140 nchini Nigeria
Apr 05, 2018 10:11Idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na homa ya Lassa nchini Nigeria imepindukia 140.
-
Iran yaongoza katika utoaji makala za kielimu na kisayansi kati ya nchi za Kiislamu
Jan 05, 2018 04:32Mkuu wa utafiti na teknolojia wa Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu ya Iran amesema: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inashika nafasi ya kwanza kati ya nchi za Kiislamu katika utoaji makala za kielimu na kisayansi baada ya kutoa jumla ya makala 52,160 za kielimu.
-
Indhari ya WHO kutokana na mripuko wa tauni iliyoua watu 24 Madagascar
Oct 01, 2017 11:58Shirika la Afya Duniani WHO limeeleza wasi wasi wake kutokana na mripuko wa ugonjwa wa tauni ambao umeua makumi ya watu kufikia sasa nchini Madagascar.