-
Iran yaanza sherehe za Alfajiri Kumi za ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Jan 31, 2025 13:33Raia wa Iran leo wameanza sherehe za Alfajiri Kumi ili kuadhimisha mwaka wa 46 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu yaliyouangusha utawala wa kifalme wa Pahlavi uliokuwa ukiungwa mkono na kusaidiwa na Marekani.
-
Msomi Mnigeria: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni dhihirisho la kupigania uhuru duniani
Feb 08, 2024 03:03Mwanasiasa na mwandishi mashuhuri wa Nigeria amesema kuwa, Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yaliyoongozwa na Imam Khomeini (RA) ni kigezo cha wapigania uhuru kote duniani ili kuzifanya nchi zao kuwa huru.
-
Kuanza Alfajiri Kumi za Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran
Feb 01, 2024 12:25Leo (Alhamisi), tarehe 12 Bahman 1402 Hijria Shamsia inayosadifiana na tarehe Mosi Februari 2024, ni mwanzo wa siku kumi zlizobarikiwa za alfajiri ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
Maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu yaanza rasmi nchini Iran
Feb 01, 2024 07:15Alkhamisi ya leo ya tarehe Mosi Februari 2024 inasadifiana na tarehe 12 Bahman 1402 kwa kalenda ya Iran ya Hijria Shamsia. Tarehe kama hii kila mwaka huwa ndio mwanzo wa maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran.
-
Rais Ebrahim Raisi: Taifa la Iran muda wote limekuwa likiwakatisha tamaa maadui
Feb 03, 2023 04:14Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kujitokeza vilivyo na kwa wingi wananchi katika nyuga tofauti kumekuwa muda wote kukiwavunja moyo na kuwakatisha maadui wa Iran ya Kiislamu.
-
Kiongozi Muadhamu azuru Haram ya Imam Khomeini MA na maziara ya Mashahidi
Jan 31, 2022 08:04Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei mapema leo asubuhi amefanya ziara katika Haram toharifu ya Imam Khomeini MA, mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu na maziara ya Mashahidi katika Makaburi ya Behesht Zahra SA kusini mwa Tehran.
-
Hakim: Mapinduzi ya Kiislamu yaliibua mlingano mpya katika eneo
Feb 11, 2020 04:45Mwenyekiti wa Mrengo wa Kitaifa wa Hikmat nchini Iraq amesema, Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yaliyoongozwa na Imam Khomeini MA yameweza kuvunja njama zote za maadui dhidi ya Iran katika kipindi cha miaka 40 iliyopita sambamba na kuibua mlingano mpya katika eneo la Asia Magharibi na dunia nzima kwa ujumla.
-
Rais Rouhani: Vikwazo vya kidhalimu vya Marekani ni ugaidi dhidi ya taifa la Iran
Feb 10, 2020 15:02Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema vikwazo vya kidhalimu vya Marekani ni kitendo cha ugaidi dhidi ya taifa lote la Iran.
-
Rouhani: Muamala wa Karne ni muamala wa fedheha na chuki
Feb 02, 2020 07:38Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameutaja 'Muamala wa Karne' kama mpango wa Marekani wa kufedhehesha, aibu na wenye kuchukiza.
-
Bahman 12; Kuanza maadhimisho ya Alfajiri Kumi; dhihirisho la umoja na mshikamano wa taifa la Iran
Feb 01, 2020 11:17Leo Jumamosi tarehe 12 mwezi Bahman sawa na Februari Mosi ni siku ya kuanza alfajiri kumi za maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.