-
Mateso ya Ukoloni: Majaribio ya Nyuklia ya Ufaransa nchini Algeria, Uhalifu Ambao Hautasahaulika
Feb 18, 2026 23:54Wakati wa ukoloni wa Ufaransa nchini Algeria, moja ya sura nyeusi na ya uhalifu mkubwa zaidi ilikuwa majaribio ya nyuklia katika ardhi ya nchi hiyo na kwa watu wake.
-
Algeria yaijia juu Ufaransa kwa kueneza 'urongo' kupitia TV
Jan 26, 2026 07:22Serikali ya Algeria imeishutumu Ufaransa kwa kuidhinisha 'uchokozi' dhidi ya nchi hiyo ya Afrika Kaskazini, baada ya televisheni ya serikali ya Paris kurusha makala ya matukio ya kweli (documentary) ambayo Algiers imesema imejaa "urongo na uzushi."
-
Bunge la Algeria laanza kujadili muswada wa kujinaisha ukoloni wa Ufaransa
Dec 21, 2025 05:42Bunge la Algeria jana lilifungua mjadala kuhusu rasimu ya sheria inayotaka kujinaisha utawala wa kikoloni wa Ufaransa nchini humo kati ya mwaka 1830 na 1962.
-
Algeria: Kuna hatari UNSC likashindwa kwa mara ya tatu kuzuia mauaji ya kimbari kufuatia kura ya veto ya US
Sep 19, 2025 23:09Algeria imelitahadharisha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwamba linakabiliwa na hatari ya kukariri kushindwa kwake mtawalia katika miaka ya nyuma kuzuia mauaji ya kimbari baada ya Marekani kwa mara ya sita kutumia kura yake ya veto kupinga azimio lililoungwa mkono na nchi 14 wanachama kati ya nchi 15 wa UNSC.
-
Wanajeshi wa Algeria waangamiza magaidi karibu na mpaka wa Tunisia
Jun 04, 2025 09:42Wizara ya Ulinzi ya Algeria imetangaza kuwa, jeshi la nchi hiyo limeangamiza magaidi wawili wenye silaha katika operesheni inayoendelea ya kukabiliana na magenge ya kigaidi katika mkoa wa mashariki wa Khenchela, karibu na mpaka wa nchi hiyo na Tunisia.
-
Kwa nini vikosi vya usalama vya Ufaransa vimefukuzwa Algeria?
May 12, 2025 23:32Sambamba na kuongezeka mvutano kati ya Algeria na Ufaransa, serikali ya Algiers imechukua uamuzi wa kuwafukuza maafisa wawili wa kiintelijensia wa Ufaransa waliokuwa na pasipoti za kidiplomasia.
-
Algeria yawafukuza majajusi 2 wa Ufaransa kwa kuingia nchini na pasi za bandia za kusafiria
May 11, 2025 22:32Serikali ya Algeria imewafukuza maajenti wawili wa ujasusi wa Ufaransa kwa kuingia nchini humo kwa kutumia "pasi bandia za kidiplomasia " ikiwa ni ishara mpya ya kuongezeka mvutano kati ya nchi mbili hizo.
-
Kufukuzwa wanadiplomasia; Je, kwa mara nyingine Algeria imeasi dhidi ya Ufaransa?
Apr 19, 2025 22:55Huku mvutano ukishadidi katika uhusiano wa kisiasa kati ya Ufaransa na Algeria, nchi hizo mbili zimewafukuza wanadiplomasia kadhaa kutoka katika nchi zao.
-
Algeria yawapa wanadiplomasia wa Ufaransa saa 48 waondoke nchini humo
Apr 14, 2025 09:39Mvutano wa kidiplomasia kati ya Algeria na Ufaransa umezidi kupamba moto huku serikali ya Algiers ikiwataka wanadiplomasia 12 wa mkoloni huyo wa zamani wa Ulaya kuondoka nchini humo ndani ya saa 48.
-
Araqchi: Uhusiano wa Iran na Algeria uko imara, ni wa kihistoria
Apr 10, 2025 08:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Algeria ni nchi kubwa na yenye taathira katika Ulimwengu wa Kiislamu na kwamba uhusiano kati ya nchi hiyo na Iran ni mkubwa, imara na wa siku nyingi.