-
Pezeshkian: Iran imeazimia kuimarisha uhusiano na Algeria
Nov 02, 2024 03:00Rais wa Iran Masoud Pezeshkian ameipongeza Algeria kwa kuadhimisha miaka 70 ya mapinduzi yake, akielezea utayarifu wa Iran wa kuimarisha uhusiano na nchi hiyo ya Kiarabu katika nyuga mbali mbali.
-
Boko Haram waua wanakijiji 127, wachoma moto maduka na nyumba kaskazini ya Nigeria
Sep 04, 2024 02:42Wanamgambo wanaoshukiwa kuwa ni wa kundi la kigaidi la Boko Haram wamevamia kijiji cha kaskazini mashariki mwa Nigeria wakiwa na pikipiki na kufyatua risasi sokoni na kuteketeza maduka na nyumba sambamba na kuua watu wapatao 127. Hayo ni kwa mujibu wa Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Amnesty International na Polisi ya Nigeria.
-
Mwanajudo wa Algeria akataa kushindana na mwakilishi wa Israel katika Michezo ya Olimpiki ya Paris
Jul 30, 2024 02:28Judoka wa Algeria amekataa kushindana na mwakilishi wa utawala haramu wa Israel katika Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024.
-
Algeria yasimamisha matamasha ya sanaa kuiunga mkono Gaza
Jul 13, 2024 11:37Wizara ya Utamaduni ya Algeria imetangaza kusimamisha matamasha yote makubwa ya sanaa katika msimu huu wa joto kali, kuonyesha mshikamano na wananchi madhulumu wa Wapalestina wanaoendelea kuuawa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Rais wa Algeria: Dunia imepoteza ubinadamu katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu
May 06, 2024 10:44Rais wa Algeria amesema, ubinadamu umepoteza nyanja zote za kiutu na ustaarabu katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Ujumbe wa Algeria na azma yake ya kustawisha ushirikiano wa kiteknolojia na Iran
Apr 30, 2024 11:14Mkuu wa Chama cha Wafanyabiashara wa Algeria amepongeza maendeleo ya kiteknolojia ya Iran na kusisitiza azma ya nchi hiyo ya kuendeleza ushirikiano wa kiteknolojia na Iran.
-
Rais wa Algeria atangaza uchaguzi wa rais wa mapema
Mar 22, 2024 06:38Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Rais Abdelmajid Tebboune wa Algeria imeeleza kuwa nchi hiyo itaitisha uchaguzi wa mapema wa rais mwezi Septemba mwaka huu, miezi mitatu kabla ya muda uliokuwa umepangwa hapo awali.
-
Kupanua uhusiano wa kitamaduni kati ya Iran na Algeria kwa msingi wa misikiti
Mar 03, 2024 12:29Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza utayarifu wake wa kupanua uhusiano wa kiutamaduni kati ya Iran na Algeria kwa kuzingatia misikiti kama msingi na katika mwelekeo wa kuongeza maarifa, sayansi na kujenga umoja na mafungamano katika ulimwengu wa Kiislamu.
-
US kuipigia veto rasimu ya azimio la Algeria la kusitisha vita Gaza
Feb 18, 2024 11:05Maafisa wa Marekani wameapa kuwa nchi hiyo itatumia kura yake ya turufu kupinga rasimu ya azimio iliyowasilishwa na Algeria katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, la kutaka kusitishwa mara moja mapigano katika Ukanda wa Gaza.
-
Algeria yawasilisha muswada wa azimio la kusitishwa vita huko Gaza
Feb 03, 2024 08:48Algeria imetoa wito wa kusitishwa mara moja mapigano katika Ukanda wa Gaza katika rasimu ya azimio iliyowasilishwa katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.