-
Algeria kuliomba Baraza la Usalama lishinikize kutekelezwa hukumu ya ICJ dhidi ya Israel
Jan 27, 2024 11:55Rais Abdelmadjid Tebboune wa Algeria ameitaka Ofisi ya Kudumu ya nchi hiyo ya Kiarabu katika Umoja wa Mataifa iwasilishe ombi la kufanyika mkutano wa dharura wa Baraza la Usalama la umoja huo, wa kujadili namna Israel itashinikizwa kuheshimu kivitendo maamuzi ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ).
-
Baada ya Mauritius na Algeria, Cape Verde yawa nchi ya tatu barani Afrika kutokomeza Malaria
Jan 13, 2024 06:16Shirika la Afya Duniani (WHO) limeitangaza Cabo Verde kuwa nchi isiyo na Malaria kwa kufanikiwa kuutokomeza ugonjwa huo na kuipatia cheti rasmi cha uthibitisho.
-
Maspika wa mabunge ya Iran na Algeria wasisitiza kusitishwa jinai za Wazayuni Ukanda wa Gaza
Dec 15, 2023 02:58Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ametangaza utayarifu wa Bunge la Iran kufanya kikao cha dharura cha Kamati ya Kudumu ya Palestina katika ngazi ya maspika wa mabunge ya nchi za Kiislamu kwa ajili ya kuchunguza njia za kivitendo za kuwaunga mkono wananchi wanaodhulumiwa wa Palestina.
-
Algeria kuwa mwenyeji wa mkutano wa kujadili njia za kuishtaki Israel ICC
Nov 28, 2023 06:17Algeria imejiunga na orodha ya nchi zinazotaka kufanyike uchunguzi kuhusiana na jinai za kivita zilizofanywa na Israel katika Ukanda wa Gaza, na kushtakiwa utawala haramu katika vyombo vya kimataifa.
-
Rais wa Algeria: Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepatwa na maradhi ya kupooza
Nov 25, 2023 12:11Rais wa Algeria amesema Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepatwa na maradhi ya kupooza na kwamba utawala ghasibu wa Israel haujali wala kuheshimu maamuzi ya taasisi hiyo ya kimataifa.
-
Waalgeria wasusia bidhaa za Ufaransa wakiwatetea Wapalestina
Nov 12, 2023 12:29Uhalifu na jinai zinazoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya watu wa Gaza kwa msaada wa nchi za Magharibi zimewafanya wananchi katika nchi mbalimbali wasusie bidhaa zinazozalishwa katika nchi za Ulaya na Marekani.
-
Qalibaf: Mataifa ya Kiislamu yasimamishe mashambulizi ya Wazayuni
Nov 08, 2023 03:33Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amelaani vikali mashambulizi ya kinyama utawala wa Kizayuni huko Gaza na kusisitiza kuwa, mataifa ya Kiislamu yana wajibu wa kusimamisha dhulma na hujuma hizo za kikatili za Wazayuni dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Wadukuzi wa Algeria washambulia mitandao ya Wizara ya Vita ya Israel
Oct 25, 2023 02:52Kundi moja la wadukuzi la Algeria limejipenyeza na kushambulia mitandao ya kuhifadhi taarifa za Wizara ya Vita ya utawala haramu wa Israel.
-
Rais wa Algeria aagiza kuanzishwa daraja la angani la misaada kwa ajili ya Gaza
Oct 23, 2023 02:23Rais wa Algeria ameagiza kuanzishwa daraja la angani kwa ajili ya kutuma misaada ya kibinadamu Ukanda wa Gaza kupitia kivuko cha Rafah.
-
Ombi la Algeria kwa Jamii ya Kimataifa kuliunga mkono taifa la Palestina dhidi ya jinai za utawala wa Kizayuni
Oct 09, 2023 06:43Kupitia taarifa, Wizara ya Mambo ya Nje ya Algeria imetaka uingiliaji kati wa haraka wa Jumii ya Kimataifa kupitia taasisi husika ili kuliunga mkono taifa la Palestina dhidi ya jinai za utawala wa Kizayuni.