-
Niger yakubali mpango wa Algeria wa kutatua mzozo wa ndani wa nchi hiyo
Oct 02, 2023 15:12Wizara ya Mambo ya Nje ya Algeria ilimengaza kuwa, Niger imekubaliana na mpango wa Algiers wa kutatua mgogoro wa ndani wa nchi hiyo ya Magharibi mwa Afrika.
-
Raisi: Ushirikiano wa Iran na Algeria ni kwa maslahi ya umma wa Kiislamu
Aug 23, 2023 07:07Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria azma ya taifa hili ya kuimarisha uhusiano wake na Algeria na kusisitiza kuwa, ushirikiano wa nchi mbili hizi ni kwa maslahi ya mataifa haya na ulimwengu wa Kiislamu kwa jumla.
-
Sisitizo la Algeria la kutokuwa tayari kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel
Aug 19, 2023 03:51Naibu Spika wa Bunge la Algeria Moussa Kharfi ametamka bayana kuwa nchi yake haitoanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Algeria: Hatutaanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa kikoloni wa Israel
Aug 17, 2023 03:14Naibu Spika wa Bunge la Algeria amesisitiza kuwa, taifa hilo la kaskazini mwa Afrika halitafuata mkumbo wa nchi nyingine za Kiarabu wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel, akisisitiza kuwa Waalgeria wanautazama utawala huo kuwa wa kikoloni.
-
Algeria: Uingiliaji wa kijeshi nchini Niger utatishia utulilvu wa eneo zima
Aug 16, 2023 06:28Mkuu wa Jeshi la Algeria ameonya kuhusu jaribio la kuivamia kijeshi Niger na kusema kuwa uvamizi wowote wa kijeshi wa madola ya kigeni nchini Niger utatishia utulivu na usalama wa eneo zima la Sahel ya Afrika.
-
Algeria: Hatuungi mkono uingiliaji wa kijeshi nchini Niger
Aug 06, 2023 07:15Algeria imepinga vikali mpango wa kuingia kijeshi nchini Niger, kwa lengo la kuhitimisha mapinduzi ya kijeshi ya mwishoni mwa mwezi uliopita, yaliyomuondoa madarakani Rais Mohamed Bazoum.
-
Moto uliochochewa na upepo umeua watu zaidi ya 34 Algeria
Jul 25, 2023 14:59Moto wa nyika usiodhibitiwa unaoendelea katika nchi za Algeria na Tunisia huko kaskazini mwa Afrika wakati huu wa wimbi la joto kali umesababisha vifo vya makumi vya watu na kuwalazimisha maelfu ya wengine kuyahama makazi yao.
-
Algeria yaijia juu Israel kwa kutambua mamlaka ya Morocco Sahara Magharibi
Jul 21, 2023 07:45Algeria imekosoa vikali uamuzi wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wa kutambua mamlaka ya Morocco katika eneo linalozozaniwa la Sahara Magharibi.
-
Watu 34 wafariki dunia katika ajali ya barabarani nchini Algeria
Jul 19, 2023 10:34Takriban watu 34 wamepoteza maisha na wengine kadhaa wamejeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotolewa alfajiri ya leo nchini Algeria.
-
Mashauriano ya kirafiki yanayotawala katika uhusiano wa Iran na Algeria
Jul 09, 2023 08:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria Ahmed Attaf, ambaye amekuwa ziarani hapa nchini kwa mwaliko wa Hossein Amir-Abdollahian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ametoa matamshi ya kirafiki na ya heshima sana kuhusu uhusiano wa Algeria na Iran katika mkutano wa pamoja na waandishi wa habari aliofanya na mwenyeji wake.