-
Algeria: Uingiliaji wa kijeshi nchini Niger utatishia utulilvu wa eneo zima
Aug 16, 2023 02:58Mkuu wa Jeshi la Algeria ameonya kuhusu jaribio la kuivamia kijeshi Niger na kusema kuwa uvamizi wowote wa kijeshi wa madola ya kigeni nchini Niger utatishia utulivu na usalama wa eneo zima la Sahel ya Afrika.
-
Algeria: Hatuungi mkono uingiliaji wa kijeshi nchini Niger
Aug 06, 2023 03:45Algeria imepinga vikali mpango wa kuingia kijeshi nchini Niger, kwa lengo la kuhitimisha mapinduzi ya kijeshi ya mwishoni mwa mwezi uliopita, yaliyomuondoa madarakani Rais Mohamed Bazoum.
-
Moto uliochochewa na upepo umeua watu zaidi ya 34 Algeria
Jul 25, 2023 11:29Moto wa nyika usiodhibitiwa unaoendelea katika nchi za Algeria na Tunisia huko kaskazini mwa Afrika wakati huu wa wimbi la joto kali umesababisha vifo vya makumi vya watu na kuwalazimisha maelfu ya wengine kuyahama makazi yao.
-
Algeria yaijia juu Israel kwa kutambua mamlaka ya Morocco Sahara Magharibi
Jul 21, 2023 04:15Algeria imekosoa vikali uamuzi wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wa kutambua mamlaka ya Morocco katika eneo linalozozaniwa la Sahara Magharibi.
-
Watu 34 wafariki dunia katika ajali ya barabarani nchini Algeria
Jul 19, 2023 07:04Takriban watu 34 wamepoteza maisha na wengine kadhaa wamejeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotolewa alfajiri ya leo nchini Algeria.
-
Mashauriano ya kirafiki yanayotawala katika uhusiano wa Iran na Algeria
Jul 09, 2023 04:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria Ahmed Attaf, ambaye amekuwa ziarani hapa nchini kwa mwaliko wa Hossein Amir-Abdollahian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ametoa matamshi ya kirafiki na ya heshima sana kuhusu uhusiano wa Algeria na Iran katika mkutano wa pamoja na waandishi wa habari aliofanya na mwenyeji wake.
-
Raisi: Uhusiano wa Iran na Algeria unaweza kupanuliwa katika nyanja za biashara na uchumi
Jul 09, 2023 02:25Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameutaja uhusiano kati ya Iran na Algeria kuwa ni baina ya nchi mbili rafiki, wa kidugu na Kiislamu, ambao unaweza kupanuliwa kwa kuzingatia misimamo ya kieneo na kimataifa ya pande mbili katika nyuga mbalimbali zikiwemo nyanja za kibiashara na kiuchumi.
-
Algeria: Umoja wa Mataifa hauna uwezo wa kuwatetea wanaokandamizwa
Jul 06, 2023 03:59Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria amesema, Umoja wa Mataifa hauwezi tena kuwasaidia watu wanaodhulumiwa duniani.
-
Bunge la Algeria lakosoa siasa za kinafiki za nchi za Magharibi
Jul 05, 2023 22:49Bunge la Algeria limeyalaumu mabunge ya nchi za Magharibi kwa siasa zao za kinafiki na kindumakuwili kuhusiana na maandamano na machafuko ya hivi karibuni nchini Ufaransa.
-
Kuendelea mvutano wa Algeria na Ufaransa; kufutwa Kifaransa katika vyuo vikuu vya Algeria
Jul 05, 2023 04:20Serikali ya Algeria imeamua kufuta lugha ya Kifaransa na badala yake kuweka Kiingereza kwa ajili ya kufundishia masomo ya chuo kikuu sambamba na kukaribia kuanza mwaka mpya wa masomo mnamo mwezi Septemba.