-
Upinzani wa Algeria dhidi ya uingiliaji wa kijeshi katika eneo la Sahel Afrika
Apr 05, 2023 02:18Katika hali ambayo, madola ya kigeni yamekuwa yakishindana kwa lengo la kupenya na kuingia barani Afrika na yamekuwa yakitumia visingizio mbalimbali kama vita dhidi ya ugaidi kwa ajili ya kufikia lengo hilo, Meja Jeneral Said Chengriha Amiri Jeshi Mkuu wa Jeshi la Taifa la Wananchi wa Ageria amesema tajiriba inaonyesha kuwa, uingiliaji wa kijeshi wa aina yoyote katika eneo ulikabiliwa na kushindwa kikamilifu.
-
Ombi la watu wa Morocco la kufutwa uhusiano wa nchi yao na utawala wa Kizayuni wa Israel
Apr 03, 2023 03:23Kwa mnasaba wa Machi 30, Siku ya Ardhi ya Palestina, idadi kubwa ya raia wa Morocco walijumuika katika mji mkuu, Rabat na kushiriki katika maandamano ya kupinga utawala wa Kizayuni wa Israel, ambapo kwa mara nyingine wametaka kufutwa kwa mapatano ya kuanzishwa uhusiano wa kawaida kati ya serikali yao na utawala huo dhalimu.
-
Rais wa Algeria: Kwa tulipofikia, uhusiano wetu na Morocco hautaweza kurejeshwa tena
Mar 23, 2023 02:31Rais Abdelmadjid Tebboune wa Algeria amesema, uhusiano wa nchi yake na Morocco umefikia "hatua ya kutoweza kurejeshwa tena", kauli inayoashiria kuzidi kuwa mbaya uhusiano kati ya nchi hizo mbili, ambao ulivunjwa mwaka 2021.
-
Algeria: Mapatano ya Iran na Saudi Arabia yataimarisha usalama katika eneo
Mar 21, 2023 09:53Wizara ya Mambo ya Nje ya Algeria ilitangaza Jumatatu usiku kwamba makubaliano yaliyotiwa saini kati ya Saudi Arabia na Iran yatasaidia kuimarisha usalama katika eneo na pia kutetea kadhia ya Palestina.
-
Watunisia wapatwa na wasiwasi kuhusu mpango wa kusafirisha gesi wa Algeria na Italia
Jan 31, 2023 02:23Taarifa ya karibuni ya serikali ya Algeria kuhusu mpango wake kujenga bomba la pili la kusafirisha gesi ya nchi hiyo hadi Italia bila kupitia Tunisia imesababisha wasiwasi kkwa wananchi wa Tunisia.
-
Algeria: Palestina itaendelea kuwa kadhia kuu ya Ulimwengu wa Kiislamu
Jan 30, 2023 06:56Rais wa Algeria amesema kukwa, Palestina itaendelea kuwa kadhiaa kuu ya Ulimwengu wa Kiislamu na Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC.
-
Spika wa Bunge la Algeria: Tunataka kuimarisha uhusiano na Iran
Jan 29, 2023 13:22Spika wa Bunge la Algeria amesema: Tunajivunia mafanikio ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika nyuga mbalimbali na tunataka kuimarisha uhusiano kati ya mataifa yetu mawili.
-
Baada ya Kombe la Dunia, wito wa kukombolewa Palestina sasa wasikika katika michuano ya CHAN
Jan 14, 2023 13:02Duru ya saba ya mashindano ya soka ya Mataifa ya Afrika (CHAN) kwa wachezaji wa ligi za ndani barani humo yalifungua pazia lake jana Ijumaa kwa mchuano baina ya wenyeji Algeria na Libya.
-
Rais wa Algeria: Kuiunga mkono Palestina kusiishie kwenye utoaji taarifa tu
Nov 29, 2022 07:40Rais Abdelmadjid Tebboune wa Algeria amesisitiza haja ya kuchukuliwa hatua za kivitendo ili kurejesha haki za Wapalestina.
-
Algeria yasisitiza kuhusu ulazima wa kuipa uzito kadhia ya Palestina
Nov 22, 2022 02:25Spika wa Bunge la Algeria amesisitiza juu ya ulazima wa kuzingatiwa na kupewa uzito suala la Palestina. Ibrahim Boughali ametoa sisitizo hilo katika kikao na ujumbe wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) kilichofanyika katika mji mkuu wa Algeria, Algiers.