-
Spika wa Bunge la Algeria: Tunataka kuimarisha uhusiano na Iran
Jan 29, 2023 09:52Spika wa Bunge la Algeria amesema: Tunajivunia mafanikio ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika nyuga mbalimbali na tunataka kuimarisha uhusiano kati ya mataifa yetu mawili.
-
Baada ya Kombe la Dunia, wito wa kukombolewa Palestina sasa wasikika katika michuano ya CHAN
Jan 14, 2023 09:32Duru ya saba ya mashindano ya soka ya Mataifa ya Afrika (CHAN) kwa wachezaji wa ligi za ndani barani humo yalifungua pazia lake jana Ijumaa kwa mchuano baina ya wenyeji Algeria na Libya.
-
Rais wa Algeria: Kuiunga mkono Palestina kusiishie kwenye utoaji taarifa tu
Nov 29, 2022 04:10Rais Abdelmadjid Tebboune wa Algeria amesisitiza haja ya kuchukuliwa hatua za kivitendo ili kurejesha haki za Wapalestina.
-
Algeria yasisitiza kuhusu ulazima wa kuipa uzito kadhia ya Palestina
Nov 21, 2022 22:55Spika wa Bunge la Algeria amesisitiza juu ya ulazima wa kuzingatiwa na kupewa uzito suala la Palestina. Ibrahim Boughali ametoa sisitizo hilo katika kikao na ujumbe wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) kilichofanyika katika mji mkuu wa Algeria, Algiers.
-
Algeria: Kadhia ya Palestina ipo ndani ya vipaumbele vyetu
Nov 02, 2022 04:14Akizungumza katika ufunguzi wa Mkutano wa Wakuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) katika mji mkuu Algiers, Rais wa Algeria ameitaja kadhia ya Palestina kuwa suala muhimu na nyeti.
-
Bin Salman hatohudhuria kikao cha wakuu wa Arab League Algeria kwa ushauri wa madaktari
Oct 23, 2022 08:28Mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman hatahudhuria mkutano ujao wa kilele wa wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu utakaofanyika nchini Algeria kwa kufuata ushauri wa madaktari wa kuepuka kusafiri. Hayo yameelezwa na ofisi ya rais wa Algeria.
-
Makundi ya Palestina yaandaa hati ya maridhiano katika mkutano wao wa Algeria
Oct 13, 2022 04:36Makundi ya Wapalestina yameandaa hati ya maridhiano mwishoni mwa mkutano wao wa siku mbili uliofanyika nchini Algeria.
-
Safari ya Waziri Mkuu wa Ufaransa nchini Algeria
Oct 11, 2022 07:46Jumapili ya juzi tarehe 9 Oktoba, Waziri Mkuu wa Ufaransa aliwasili katika mji mkuu wa Algeria Algiers akiuongoza ujumbe wa ngazi za juu wa nchi yake kwa ajili ya safari rasmi ya siku tatu katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Algeria yataka utawala wa Kizayuni uondoke kwenye milima ya Golan ya Syria
Sep 27, 2022 23:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria kwa mara nyingine tena ameutaka utawala wa Kizayuni wa Israel ukomeshe kuikalia kwa mabavu milima ya Golan ya Syria.
-
Algeria yazialika harakati za Hamas na Fat'h kushiriki mazungumzo na maelewano
Sep 18, 2022 22:08Algeria imetangaza kuwa, imewaalika viongozi Wapalestina wa harakati za Hamas na Fat'h kushiriki katika mazungumzo ya maelewano ya kitaifa mjini Algiers.