Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

algeria

  • Safari ya Rais wa Ufaransa nchini Algeria

    Safari ya Rais wa Ufaransa nchini Algeria

    Aug 28, 2022 08:32

    Kufuatia kuendelea mvutano kati ya Ufaransa na Algeria, Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ameitembelea nchi hiyo ya Kiafrika kwa lengo la kuboresha uhusiano ulioharibika na kufungua "ukurasa mpya" katika uhusiano wa pande mbili.

  • Algeria na Ufaransa zakubaliana kuanzisha ushirikiano mpya

    Algeria na Ufaransa zakubaliana kuanzisha ushirikiano mpya

    Aug 28, 2022 02:36

    Algeria na Ufaransa zimesaini tamko la pamoja la "ushirikiano mpya" mwishoni mwa ziara ya siku tatu ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa nchini Algeria.

  • Mgogoro wa nishati Ufaransa wamlazimisha Macron kuzuru koloni la zamani

    Mgogoro wa nishati Ufaransa wamlazimisha Macron kuzuru koloni la zamani

    Aug 26, 2022 02:35

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amewasili Algeria, koloni la kitambo la nchi hiyo ya Ulaya katika safari inayolenga kuitaka nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika iongeze kiwango cha gesi inayouza barani Ulaya.

  • Algeria na Tunisia zalaani kuuliwa wananchi madhulumu wa Palestina

    Algeria na Tunisia zalaani kuuliwa wananchi madhulumu wa Palestina

    Aug 06, 2022 03:05

    Wizara za Mambo ya Nje za Algeria na Tunisia zimelaani hatua ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuwaua wananchi madhulumu wa Palestina.

  • Mwanamichezo shujaa wa Algeria akataa kucheza kwa Wazayuni

    Mwanamichezo shujaa wa Algeria akataa kucheza kwa Wazayuni

    Jul 29, 2022 02:32

    Mmoja wa wanamichezo shujaa wa Algeria amekataa kwenda kucheza mpira katika ardhi za Palestina zilizopachikwa jina bandia la Israel ikiwa ni kuendeleza harakati ya kimataifa ya kuwaunga mkono wananchi madhlumu wa Palestina na kulaani jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Algeria yapinga tena mpango wa utawala wa ndani Sahara, yaishutumu Rabat kwa udanganyifu

    Algeria yapinga tena mpango wa utawala wa ndani Sahara, yaishutumu Rabat kwa udanganyifu

    Jul 17, 2022 22:00

    Algeria mepinga tena mpango wa kuanzisha utawala wa ndani uliopendekezwa na Morocco kwa ajili eti ya kutatua mzozo wa eneo la Sahara Magharibi linalozozaniwa kati ya Morocco na Harakati ya Polisario.

  • Mkutano wa kihistoria kati ya Haniyah na Abbas baada ya miaka 15

    Mkutano wa kihistoria kati ya Haniyah na Abbas baada ya miaka 15

    Jul 07, 2022 22:01

    Ismail Haniyah, mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) na Mahmoud Abbas, mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, wamekutana baada ya miaka mingi ya uhusiano wa pande mbili kukatika.

  • Algeria yasimamisha uhusiano wa kitalii na Uhispania, mvutano washtadi

    Algeria yasimamisha uhusiano wa kitalii na Uhispania, mvutano washtadi

    Jun 21, 2022 03:21

    Serikali ya Algeria imetangaza kusimamisha uhusiano wa kitalii wa nchi hiyo na Uhispania, huku mzozo baina mataifa hayo mawili juu ya mgogoro wa Sahara Magharibi ukiongezeka.

  • Umoja wa Ulaya waipendelea Uhispania, waionya Algeria

    Umoja wa Ulaya waipendelea Uhispania, waionya Algeria

    Jun 11, 2022 02:55

    Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, Josep Barrell ameonesha waziwazi kuipendelea Uhispania katika mgogoro wake na Algeria kwa kuionya Algiers kuhusu kusimamisha ushirikiano wake na Madrid.

  • Algeria yasimamisha ushirikiano na Uhispania kwa sababu ya kadhia ya Sahara Magharibi

    Algeria yasimamisha ushirikiano na Uhispania kwa sababu ya kadhia ya Sahara Magharibi

    Jun 09, 2022 07:55

    Algeria imechukua hatua "mara moja" kusimamisha mkataba wa Urafiki baina yake na Uhispania baada ya Madrid kubadilisha msimamo wa miongo kadhaa wa kutoegemea upande wowote katika mgogoro wa Sahara Magharibi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS