-
Algeria yasisitizia ulazima wa kuweko umoja wa Wapalestina
Jan 31, 2022 08:11Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Algeria amesisitiza udharura wa kuweko umoja na mshikamano baina ya Wapalestina.
-
Marais wa Algeria na Ufaransa wazungumza baada ya miezi kadhaa ya mizozo ya kidiplomasia
Jan 31, 2022 00:36Rais Abdelmajid Tebboune wa Algeria amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na mwenzake wa Ufaransa, Emmanuel Macron, baada ya miezi kadhaa ya mivutano ya kidiplomasia baina ya pande hizo mbili.
-
Rais wa Algeria: Kuitetea Palestina ni kipaumbele cha serikali ya Algiers
Jan 18, 2022 23:56Rais wa Algeria ametangaza kuwa nchi yake itaendelea kulitetea taifa la Palestina dhidi ya utawala ghasibu wa Israel.
-
Mzozo baina ya nchi mbili jirani za Algeria na Morocco waendelea kutokota
Jan 05, 2022 04:13Mfalme wa Morocco amehitimisha uhudumu na kkazi za balozi wa nchi hiyo huko Algeria kutokana na kuendelea mvutano kati ya nchi mbili hizo jirani.
-
Mzozo baina ya nchi mbili jirani za Algeria na Morocco waendelea kutokota
Jan 05, 2022 02:08Mfalme wa Morocco amehitimisha uhudumu na kkazi za balozi wa nchi hiyo huko Algeria kutokana na kuendelea mvutano kati ya nchi mbili hizo jirani.
-
Algeria yakadhibisha madai ya Morocco dhidi ya Iran na Hizbullah, yasema ni kichekesho
Dec 16, 2021 13:15Naibu Waziri wa Mambo ya nchi za Nje wa Algeria anayeshughulikia masuala ya nchi za Kiarabu za Kiarabu za Maghreb amekadhibisha madai yaliyotolewa na Morocco kwamba jeshi la Iran au wapiganaji wa Hizbullah wamepelekwa Sahara Magharibi kwa ajili ya kuwasaidia wapiganaji wa harakati ya Polisario.
-
Tahadhari iliyotolewa na Algeria kuhusu njama za utawala wa Kizayuni wa Israel za kulidhibiti bara la Afrika
Dec 07, 2021 01:26Kwa muda mrefu sasa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umetumia sera na mbinu tofauti ili kujipenyeza na kuwa na satua katika nchi za Afrika, muhimu zaidi ikiwa ni ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na nchi za Kiarabu; sera ambayo imeweza kutekelezwa kivitendo katika kipindi cha miezi kadhaa iliyopita kwa msaada na uungaji mkono wa Marekani.
-
Rais wa Algeria: Nchi za Kiarabu zinapaswa kulisaidia taifa la Palestina dhidi ya utawala haramu wa Israel
Dec 07, 2021 00:01Rais wa Algeria amesisitiza udharura wa nchi za Kiarabu kushirikiana kwa ajili ya kusaidia mapambano ya ukombozi ya wananchi wa Palestina dhidi ya utawala vamizi na ghasibu wa Israel.
-
Algeria: Morocco imetengwa kutokana na kuanzisha muungano wa kijeshi na Israel
Dec 04, 2021 07:54Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Algeria amesisitiza kuwa, kadiri Morocco inavyochukua hatua yoyote ile ya kutaka kuimarisha muungano wake wa kijeshi haribifu na utawala vamizi wa Israel ndivyo inavyozidi kuwa mbali na Algeria.
-
Algeria yafunga ofisi zake sita za kibalozi nchini Ufaransa
Nov 19, 2021 04:09Katika kile kinachoonekana ni kuendelea kuvurugika uhusiano wa kidiplomasia kati ya Ufaransa na Algeria, serikali ya Algiers imetangaza habari ya kufunga balozi zake ndogo zipatazo sita katika nchi hiyo ya Ulaya.