-
Wabunge wa Algeria wataka iwe jinai kuanzisha uhusiano na Israel
Jan 08, 2021 23:11Makumi ya wabunge wa Algeria wameandaa muswada wa sheria inayopania kuufanya kuwa ni uhalifu uanzishwaji wa uhusiano wowote wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Waziri Mkuu wa zamani wa Algeria ahukumiwa kifungo miaka 7 jela
Jan 04, 2021 23:14Mahakama nchini Algeria imemhukumu kifungo cha miaka 7 jela Waziri Mkuu wa zamani wa nchi hiyo kwa kufanya ufisadi katika sekta ya utalii katika mkoa wa Skikda kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Kadhaa wauawa katika makabiliano baina ya Jeshi la Algeria na genge la kigaidi
Jan 04, 2021 12:09Wanamgambo wawili na mwanajeshi mmoja wameuawa katika makabiliano baina ya maafisa usalama na genge moja la kigaidi huko kaskazini magharibi mwa Algeria.
-
Bunge la Algeria lapanga kutunga sheria ya kukufanya ni uhalifu kuanzisha uhusiano na Israel
Dec 26, 2020 23:07Mbunge mmoja nchini Algeria amesema, bunge la nchi hiyo linafikiria kutunga sheria ambayo itakutafsiri kuwa ni uhalifu kuanzisha uhusiano wowote wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel
-
Algeria na Tunisia zazuia ndege ya Israel kutumia anga zao
Dec 23, 2020 08:56Algeria na Tunisia zimeizuia ndege ya utawala wa Kizayuni wa Israel kuruka katika anga zao ili kuonyesha upinzani wao kwa hatua ya baadhi ya nchi za Kiarabu ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala huo haramu.
-
Vyama vya kisiasa Algeria vyakosoa vikali kuanzishwa uhusiano kati ya Morocco na utawala wa Kizayuni
Dec 14, 2020 23:31Vyama vya kisiasa nchini Algeria vimekosoa vikali hatua ya Morocco ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel na kusisitiza kuwa kitendo hicho ni pigo la kidhalili kwa mataifa ya Algeria, Palestina na Sahara Magharibi.
-
Algeria yautaka Umoja wa Afrika kutekeleze majukumu yake kuhusu Sahara Magharibi
Dec 03, 2020 07:36Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria amesema kuwa Algiers inasikitishwa mno na hali ya Sahara Magharibi hususan matukio yaliyoshuhudiwa hivi karibuni na ameutaka Umoja wa Afrika AU utekeleze ipasavyo majukumu yake katika eneo hilo.
-
Viongozi wa kisiasa Algeria wakasirishwa na uingiliaji wa Macron katika masuala ya nchi yao
Nov 24, 2020 10:20Matamshi yaliyotolewa hivi karibuni na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kuhusiana na hali ya ndani ya Algeria yamekosolewa vikali na vyama na makundi mbalimbali ya kisiasa ya nchi hiyo
-
Ushiriki mdogo katika kura ya maoni ya katiba nchini Algeria
Nov 02, 2020 23:12Kura ya maoni kuhusu katiba ya Algeria ilifanyika Novemba Mosi ambapo ni Waalgeria wachache sana waliojitokeza katika zoezi hilo. Taarifa zinasema ni takribani asilimi 24 tu ya wananchi walioshiriki katika kura hiyo ya maoni.
-
Waalgeria wanapiga kura ya kupasisha katiba mpya inayobana kipindi cha rais
Nov 01, 2020 03:32Zaidi ya Waalgeria milioni 24 leo wanashiriki katika zoezi la kuipigia kura katiba mpya ya nchi hiyo inayobana kipindi cha uongozi wa rais wa nchi na kulipa Bunge la Mahakama mamlaka makubwa zaidi.