Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

algeria

  • Wafaransa walitumia mifupa ya wapigania uhuru wa Algeria kutengenezea sabuni

    Wafaransa walitumia mifupa ya wapigania uhuru wa Algeria kutengenezea sabuni

    Oct 31, 2020 00:30

    Mshauri wa masuala ya historia wa Rais wa Algeria amefichua jinai ambazo Ufaransa ilitenda nchini humo katika enzi za ukoloni.

  • Waalgeria wahimizwa kuipigia kura katiba mpya ya nchi hiyo

    Waalgeria wahimizwa kuipigia kura katiba mpya ya nchi hiyo

    Oct 24, 2020 00:51

    Wananchi wa Algeria wamehimizwa kuipigia kura ya ndio katiba mpya katika zoezi la kura ya maoni lililopangwa kufanyika Novemba Mosi mwaka huu. Serikali imeitaja kura hiyo ya maoni kuwa msingi wa nchi mpya.

  • Kiongozi wa chama cha Kiislamu Algeria: Ukoloni wa Ufaransa umeyafukarisha mataifa ya Afrika

    Kiongozi wa chama cha Kiislamu Algeria: Ukoloni wa Ufaransa umeyafukarisha mataifa ya Afrika

    Oct 18, 2020 11:32

    Kiongozi wa chama kikubwa zaidi cha Kiislamu nchini Algeria amesema, ukoloni wa Ufaransa umeyafukarisha mataifa ya bara la Afrika.

  • Waalgeria warejea tena mitaani, wataka utawala wa kiraia

    Waalgeria warejea tena mitaani, wataka utawala wa kiraia

    Oct 06, 2020 04:41

    Wananchi wa Algeria walifanya maandamano jana katika mji mkuu wa nchi hiyo, Algiers na maeneo mengine ya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika wakiadhimisha miaka 32 ya harakati ya kupigania demokrasia nchini humo na kutoa wito wa mabadiliko ya kisiasa.

  • Rais wa Algeria asisitizia udharura wa kuundwa taifa huru la Palestina

    Rais wa Algeria asisitizia udharura wa kuundwa taifa huru la Palestina

    Sep 24, 2020 03:41

    Kwa mara nyingine tena, Rais Abdelmadjid Tebboune wa Algeria amesisitiza kuwa, nchi yake iko pamoja na wananchi madhulumu wa Palestina na kwamba itaendelea kusimama nao hadi pale watakapofanikiwa katika malengo yao matukufu.

  • Jeshi la Algeria laruhusiwa kuhudumu nje ya mipaka ya nchi hiyo

    Jeshi la Algeria laruhusiwa kuhudumu nje ya mipaka ya nchi hiyo

    Sep 08, 2020 21:58

    Jeshi la Algeria limeruhusiwa kuhudumu nje ya mipaka ya nchi hiyo kufuatia marakebisho yaliyofanyika katika katiba ya nchi hiyo.

  • Algeria: Kuitetea na kuiunga mkono Palestina ni katika sera zetu za nje

    Algeria: Kuitetea na kuiunga mkono Palestina ni katika sera zetu za nje

    Aug 24, 2020 23:01

    Msemaji wa serikali ya Algeria amesema kusimama na wananchi wa Palestina, kuwatetea na kuwaunga mkono nio katika sera za nje zilizopewa kipaumbele na taifa hilo la Kiarabu la kaskazini mwa Afrika.

  • Jumuiya ya Maulamaa Algeria: Kuanzisha uhusiano na Israel ni haramu

    Jumuiya ya Maulamaa Algeria: Kuanzisha uhusiano na Israel ni haramu

    Aug 17, 2020 08:49

    Jumuiya ya Maulamaa wa Algeria imesema, ni haramu kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala ghasibu wa Kizayuni wa Israel.

  • Algeria yakosoa misimamo ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusiana na Libya na Syria

    Algeria yakosoa misimamo ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusiana na Libya na Syria

    Jul 12, 2020 23:38

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria amekosoa misimamo ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusiana na Libya na Syria.

  • Rais wa Ageria: Libya itakuwa Somalia mpya barani Afrika

    Rais wa Ageria: Libya itakuwa Somalia mpya barani Afrika

    Jul 05, 2020 04:49

    Rais Abdelmadjid Tebboune wa Algeria amesema kuwa, hali inayoshuhudiwa sasa nchini Libya inafanana na ile ya Syria kutokana na nchi kadhaa kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS