-
Waziri Mkuu wa Libya aonana na Rais Abdelmadjid Tebboune wa Algeria
Jun 20, 2020 23:14Waziri Mkuu wa Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya Fayez al Sarraj ameonana na Rais Abdelmadjid Tebboune wa Algeria na pande mbili zimejadiliana njia za upatanishi na jinsi ya kutatua mgogoro wa Libya.
-
Misri kufungua viwanja vya ndege Julai, Algeria yalegeza sheria za kudhibiti corona
Jun 16, 2020 00:25Misri imetangaza kuwa itafungua viwanja vyake vyote vya ndege kuanzia Julai Mosi, baada ya kuvifunga kwa miezi kadhaa sasa kutokana na maambukizi ya virusi vya corona.
-
Algeria: Kutwaliwa eneo la Ukingo wa Magharibi ni mpango batili na wa kiadui
Jun 14, 2020 01:58Serikali ya Algeria imetangaza kuwa, mpango wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kulitwaa eneo la Palestina la Ukingo wa Magharibini batili na wa kiuhasama si kwa taifa la Palestina pekee bali kwa nchi zote za Waislamu.
-
Algeria: Tutaendelea na upatanishi hadi kutatuliwa mzozo wa Libya
Jun 02, 2020 03:00Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria amesema kuwa, nchi yake itaendeleza juhudi za kupunguza mizozo na kuzikinaisha pande nyingine nchini Libya ili zishiriki mazungumzo ya kisiasa ya kutatua mzozo wa nchi hiyo.
-
Algeria: Hamaki za wengine hazitotufanya tuvunje uhusiano wetu na China
May 14, 2020 03:22Msemaji wa Ikulu ya Algeria amesema kuwa, uhusiano wa nchi yake na China ni mzuri, uko wazi na ni wa kipekee, hivyo hamaki za wengine haziishughulishi Algiers na itaendeleza uhusiano wake huo na China kama kawaida.
-
Rais wa Algeria: Kupita zama hakuwezi kuifanya historia isahau jinai za dola koloni la Ufaransa
May 08, 2020 06:56Rais Abdelmajid Tebboune wa Algeria amesema kuwa, nusu ya wakazi wa nchi hiyo waliuawa katika jinai kubwa ya umwagaji damu iliyofanywa na Ufaransa katika kipindi cha ukoloni; na kupita zama katu hakuwezi kufuta jinai hizo katika kurasa za historia.
-
Algeria: Utatuzi wa mgogoro wa Libya bila kutushirikisha sisi, ni jambo lisilowezekana
May 02, 2020 06:38Rais Abdelmadjid Tebboune wa Algeria sambamba na kusisitizia nafasi ya nchi yake katika utatuzi wa mzozo wa Libya amesema kuwa, katika kukaribia kupatiwa njia za ufumbuzi mgogoro wa Libya na kuanza kwa mwenendo wa kisiasa, serikali ya Algiers imekuwa ikishiriki katika mwenendo huo.
-
Corona imeua watu karibu 800 hadi sasa barani Afrika
Apr 14, 2020 08:05Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Umoja wa Afrika kimesema takriban watu 800 wamepoteza maisha kutokana na ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya Corona barani Afrika.
-
Waziri wa zamani wa Algeria kuwa mjumbe maalumu wa UN nchini Libya
Mar 12, 2020 04:26Waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Algeria ametangazwa kuwa chaguo la baadae la kushika nafasi ya mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya.
-
Algeria yataka Syria irejeshwe katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu
Feb 22, 2020 21:46Rais wa Algeria ametoa wito wa kurejeshwa Syria katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu.