-
Kuidhinishwa na Bunge Baraza jipya la Mawaziri nchini Algeria
Feb 16, 2020 04:42Katika hali ambayo, malalamiko na maandamano ya wananchi wa Algeria yanaendelea kushuhudiwa, Wabunge wa nchi hiyo wamepasisha kwa wingi wa kura majina ya Baraza la Mawaziri yaliyopendekezwa na Waziri Mkuu Abdul-Aziz Djerad na kwa msingi huo kulipatia kura ya kuwa na imani nalo baraza lake hilo.
-
Algeria yataka Syria irejeshwe kwenye Jumuiya ya Nchi za Kiarabu
Feb 14, 2020 04:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria ameziasa nchi za Kiarabu ziharakishe mchakato wa kuirejesha Syria katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League).
-
Sisitizo la Iran na Algeria kuhusu msimamo imara dhidi ya 'Muamala wa Karne'
Feb 05, 2020 03:56Mawaziri wa mambo ya nje wa Iran na Algeria wamesisitiza kuhusu ulazima wa kuchukuliwa msimamo imara pamoja na kuwepo mshikamano wa Ulimwengu wa Kiislamu katika kukabliana na njama ya Kimarekani-Kizayuni iliyopewa jina la 'Muamala wa Karne'.
-
Tunisia na Algeria zatangaza vita na mpango wa Trump wa Muamala wa Karne
Jan 30, 2020 03:41Nchi za Algeria na Tunisia zimelaani hatua ya rais wa Marekani, Donald Trump ya kuanzisha vurugu jipya duniani kupitia mpango wake wa kidhulma wa Muamala wa Karne na zimetangaza kuwa ziko pamoja na taifa la Palestina katika kupigania haki zake zote ikiwemo suala la kuundwa nchi huru ya Palestina.
-
Ujerumani: Wasioheshimu usimamishaji vita Libya wasusiwe
Jan 24, 2020 02:42Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumaini amesema katika kikao cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi zinazopakana na Libya huko Algiers, mji mkuu wa Algeria kwamba, wale wote wasioheshimu usitishaji vita nchini Libya inabidi wawekewe vikwazo za Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Mawaziri wa mambo ya nje wa nchi zinazopakana na Libya wakutana Algeria
Jan 23, 2020 04:11Algeria leo itakuwa mwenyeji wa kikao cha mawaziri wa mambo ya nje wa nchi zinazopakana na Libya kitakachojadili mgogoro unaoendelea nchini humo.
-
Maelfu ya Waalgeria waandamana baada ya rais mpya wa nchi hiyo kuapishwa
Dec 21, 2019 04:09Makumi ya maelfu ya watu waliandamana jana nchini Algeria baada ya Sala ya Ijumaa kupinga kuchaguliwa rais mpya wa nchi hiyo Abdelmajid Tebboune, ambaye tayari ameshatawazwa kushika wadhifa huo, huku harakati ya umma iliyopinga kufanyika uchaguzi wa rais ikitafakari wito wa kufanya mazungumzo uliotolewa na kiongozi huyo.
-
Mustakbali wa Algeria baada ya kuapishwa rais mpya
Dec 21, 2019 04:01Baada ya kupita miezi mingi ya mgogoro wa kisiasa na maandamano ya wananchi, hatimaye uchaguzi wa rais umefanyika nchini Algeria na Abdelmadjid Tebboune amechaguliwa kuwa rais wa nchi hiyo kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.
-
Tebboune aapishwa kuwa rais mpya wa Algeria
Dec 19, 2019 09:49Abdelmajid Tebboune ameapishwa leo Alkhamisi kuwa rais wa Algeria, huku harakati ya upinzani ya Hirak ikiendelea kujadili ombi la kiongozi huyo la kufanya mazungumzo.
-
Kutangazwa matokeo ya uchaguzi wa rais Algeria katika kivuli cha maandamano ya upinzani
Dec 14, 2019 07:37Uchaguzi wa Rais Algeria umefanyika katika anga iliyogubikwa na ukosefu wa amani na usalama. Ripoti zinasema nusu ya watu waliotimiza masharti ya kupiga kura ndio walioshiriki kwenye zoezi hilo.