-
Baraza la Kimataifa la Ahlul Bayt (as): Hatua ya Aal Saud ni ya kufuru
May 31, 2016 15:35Baraza la Kimataifa la Ahlul Bayt (as) limetoa taarifa na kutangaza kuwa utawala wa Aal Saud umefanya kitendo cha kufuru kuwazuia mahujaji wa Kiirani wasifanye safari ya kwenda kutekeleza ibada ya Hija.
-
Saudia ibebe lawama za kushindwa Wairani kwenda Hija mwaka huu
May 31, 2016 07:46Mkuu wa Idara ya Ghuba ya Uajemi ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, ukoo tawala wa Aal Saud wa Saudi Arabia ndio unaopaswa kubeba lawama za kushindwa Waislamu wa Iran kwenda Hija mwaka huu.
-
Shamkhani: Aal Saudi wamewazuia Wairani kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu
May 31, 2016 04:18Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ukoo wa Aal Saud ndio uliowazuia Wairani wasitekeleze amali za Hija yenye izza na heshima.
-
Rouhani: Saudia inatumikia maslahi ya Israel kwa kuwazuia Mahujaji Wairani
May 31, 2016 03:42Rais Hassan Rouhani wa Iran amelaani hatua ya Saudia kuwazuia Wairani kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu na kusema hatua hiyo ni kwa maslahi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Utawala wa Saudia watekeleza njama za kuvuruga Ibada ya Hija
May 30, 2016 07:41Watawala wa Saudi Arabia wanatumia mbinu mbali mbali kuvuruga Ibada ya Hija na kwa msingi huo kuwanyima wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haki yao ya kutekeleza ibada hiyo muhimu ya kila mwaka.
-
Iran kutoenda Hijja mwaka huu kutokana na vizingiti vya Saudia
May 29, 2016 14:21Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema taifa hili halitashiriki ibada tukufu ya Hijja mwaka huu kutokana na vizingiti lilivyowekewa na Saudi Arabia.
-
Ayatulllah Larijani: Kuna udharura wa kuweko ushirikiano wa ulimwengu wa Kiislamu kwa ajili ya kuandaa ibada ya Hija
May 24, 2016 03:26Mkuu wa Vyombo vya Mahakama nchini Iran amesema kuwa, kuna haja ya kuweko ushirikiano wa ulimwengu wa Kiislamu kwa ajili ya kuandaa ibada ya Hija.