-
Wapinzani US: Tutaendeleza maandamano dhidi ya Trump na hatutorudi nyuma
Nov 20, 2016 15:54Wanaharakati nchini Marekani wametangaza azma yao ya kuendeleza maandamano ya kumpinga rais mteule wa nchi hiyo Donald Trump wakisisitiza kuwa Trump si chaguo la raia wa Marekani.
-
Human Rights Watch yamuonya Trump, yaahidi kumfuatilia
Nov 18, 2016 15:08Mkurugenzi mtendaji wa shirika la kimataifa la haki za binadamu la Human Rights Watch amemtahadharisha rais mteule wa Marekani Donald Trump, juu ya utendaji kazi wake baada ya kuingia madarakani.
-
Waislamu wa mji wa New York waadhimisha 'Siku ya Waislamu'
Sep 28, 2016 02:37Waislamu nchini Marekani wamemiminika katika mitaa ya mji wa Manhattan, New York kuadhimisha 'Siku ya Waislamu' mjini hapo.
-
Kiongozi wa Answarullah: Marekani na Saudia ni maadui wakubwa wa Uislamu duniani
Sep 21, 2016 07:27Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu nchini Yemen, sanjari na kuashiria kuwa, Marekani ndiyo iliyotoa amri ya kushambuliwa nchi hiyo amesema kuwa, wavamizi wa Saudia ni watu makatili wasio na huruma hata chembe.
-
Rais Rouhani afanya mazungumzo na Marais wa Bolivia na Ecuador
Sep 18, 2016 07:13Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa nchi hii inakaribisha kuimarishwa uhusiano kati yake na nchi za Amerika ya Latini na khususan Bolivia katika nyanja zote.
-
Wizara ya Elimu Marekani: Tutakabiliana na ubaguzi dhidi ya wanafunzi wa Kiislamu
Sep 12, 2016 16:20Wizara ya Elimu nchini Marekani imetangaza kuchukua hatua kali za uangalizi kuhusiana na matukio ya ubaguzi hususan dhidi ya wanafunzi wa Kiislamu katika shule za nchi hiyo.
-
Viongozi wa dini tofauti wafanya mkutano kuwaunga mkono Waislamu Marekani
Aug 30, 2016 04:35Viongozi wa dini tofauti katika mji wa Concord katika jimbo la New Hampshire nchini Marekani, wamefanya mkutano kwa ajili ya kutangaza uungaji mkono wao kwa Waislamu wa nchi hiyo.
-
Zarif awasili nchini Nicaragua
Aug 23, 2016 08:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amewasili Managua mji mkuu wa Nicaragua katika safari yake ya pili katika ziara yake ya kiduru katika nchi sita za Amerika ya Latini.
-
Zarif: Kustawisha uhusiano na Amerika ya Latini ni katika utekelezaji malengo ya Uchumi wa Muqawama
Aug 22, 2016 15:32Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Muhammad Javad Zarif amesema kustawisha uhusiano na nchi za Amerika ya Kusini ni katika kufanikisha malengo ya Uchumi wa Muqawama.
-
Kuanza ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran huko Amerika ya Latini
Aug 21, 2016 08:04Muhammad Javad Zarif Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran leo asubuhi ameondoka mjini Tehran katika ziara yake ya kwanza huko Amerika ya Latin huku akiongoza ujumbe wa ngazi ya juu wa kiuchumi na kisiasa wa nchi hii. Zarif anazitembela nchi sita za Amerika ya Latini kwa lengo la kuimarisha uhusiano wa kisiasa na kiuchumi kati ya Iran na nchi hizo khususan baada ya kufikiwa makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).