Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ansarullah

  • Ansarullah nayo yauponda Umoja wa Mataifa, yakosoa kuondolewa Saudia katika 'orodha ya fedheha'

    Ansarullah nayo yauponda Umoja wa Mataifa, yakosoa kuondolewa Saudia katika 'orodha ya fedheha'

    Jun 16, 2020 12:58

    Harakati ya wananchi wa Yemen ya Ansarullah imeutaka Umoja wa Mataifa kutupilia mbali uamuzi wake wa kuliondoa jina la Saudi Arabia na washirika wake katika orodha ya makundi yanayokanyaga na kuvunja haki za watoto.

  • Ansarullah yafichua nafasi ya Israel na US katika mashambulizi dhidi ya Yemen

    Ansarullah yafichua nafasi ya Israel na US katika mashambulizi dhidi ya Yemen

    May 24, 2020 09:42

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Wananchi ya Ansarullah ya nchini Yemen amesema Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel ni washirika wa muungano vamizi wa kijeshi unaofanya mashambulizi dhidi ya wananchi wa Yemen.

  • Siku ya Kimataifa ya Quds: Viongozi wa Hamas, Ansarullah na Hizbullah wazungumza

    Siku ya Kimataifa ya Quds: Viongozi wa Hamas, Ansarullah na Hizbullah wazungumza

    May 21, 2020 03:01

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema "Muamala wa Karne" unakusudia kusambaratisha kadhia ya Palestina.

  • Answarullah: Njia ya kuuokoa uchumi wa Saudia, ni kuhitimisha muungano vamizi dhidi ya Yemen

    Answarullah: Njia ya kuuokoa uchumi wa Saudia, ni kuhitimisha muungano vamizi dhidi ya Yemen

    May 04, 2020 08:15

    Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi nchini Yemen amesisitiza kwamba, njia bora ya kuuokoa uchumi wa Saudia ni kwa nchi hiyo kuhitimisha muungano vamizi dhidi ya Yemen.

  • Wanamgambo wa Imarati wajitangazia uhuru kusini mwa Yemen; Answarullah yalaani

    Wanamgambo wa Imarati wajitangazia uhuru kusini mwa Yemen; Answarullah yalaani

    Apr 26, 2020 11:26

    Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen amelaani hatua ya wanamgambo wa Umoja wa Falme za Kiarabu ya kujitangazia uhuru huko kusini mwa Yemen na kusema kuwa, hatua hiyo ni kutangaza kujitoa kikamilifu wanamgambo hao katika makubaliano ya Riyadh kati yao na serikali iliyojiuzulu ya Abdu Rabbuh Mansour Hadi.

  • Vikosi vya Yemen vyadhibiti kambi kubwa zaidi ya kijeshi ya muungano wa Saudia katika mkoa wa Marib

    Vikosi vya Yemen vyadhibiti kambi kubwa zaidi ya kijeshi ya muungano wa Saudia katika mkoa wa Marib

    Mar 18, 2020 03:07

    Jeshi la Yemen linaloshirikiana na kamati za Harakati ya Wananchi ya Answarullah limefanikiwa kudhibiti eneo la Kufal, ambapo kuna kambi kubwa zaidi ya kijeshi ya muungano vamizi wa Saudi Arabia katika mkoa wa Marib, katikati mwa nchi.

  • Answarullah: Kusimamishwa vita na kuondolewa mzingiro Yemen, ndilo sharti la kila mazungumzo

    Answarullah: Kusimamishwa vita na kuondolewa mzingiro Yemen, ndilo sharti la kila mazungumzo

    Mar 09, 2020 02:54

    Msemaji wa Harakati ya Wananchi ya Answarullah nchini Yemen amesema kuwa kuanza mazungumzo yoyote kunategemea kusimamishwa uvamizi wa muungano wa Saudia dhidi ya Yemen sambamba na kuondolewa mzingiro nchi hiyo.

  • Ansarullah: Marekani na Uingereza zinaongoza vita vya muungano wa Saudia nchini Yemen

    Ansarullah: Marekani na Uingereza zinaongoza vita vya muungano wa Saudia nchini Yemen

    Mar 06, 2020 11:04

    Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Mapinduzi ya Watu wa Yemen amesema kuwa washauri wa kijeshi wa Marekani na Uingereza wanaongoza mashambulizi yanayofanywa na Saudi Arabia na washirika wake dhidi ya taifa la Yemen.

  • Vikosi vya Yemen vyashambulia tena Aramco ya Saudia

    Vikosi vya Yemen vyashambulia tena Aramco ya Saudia

    Feb 22, 2020 02:46

    Kwa mara nyingine tena vikosi vya jeshi la Yemen vimefanya mashamblizi kwa kutumia makombora dhidi ya taasisi za shirika kubwa zaidi la mafuta la Saudi Arabia la Aramco katika mkoa wa Madina, magharibi mwa Saudia.

  • Yemen yakadhibisha madai ya Saudia na Imarati ya kuhusika Ansarullah katika shambulio kubwa huko Ma'rib

    Yemen yakadhibisha madai ya Saudia na Imarati ya kuhusika Ansarullah katika shambulio kubwa huko Ma'rib

    Jan 21, 2020 12:11

    Harakati ya wapiganaji wa Ansarullah wa Yemen imekanusha madai ya Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) kwamba ndiyo iliyohusika na shambulio kali la kombora katika ngome za wanamgambo wenye mfungamano na Riyadh katika mji wa Ma'rib kusini mwa Yemen.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS