-
Ansarullah: Wananchi wa Yemen hawana imani na Umoja wa Mataifa
Aug 26, 2017 03:55Msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen ameukosoa utendaji wa Umoja wa Mataifa kuhusiana na jinai zinazofanywa na utawala wa Aal Saud na kusisitiza kuwa wananchi wa Yemen hawana imani na umoja huo.
-
Katibu Mkuu wa Ansarullah: Wayamen wamesimama kidete mbele ya jinai za Saudi Arabia
Aug 24, 2017 07:54Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, wananchi wa nchi hiyo wamesimama imara na kidete kwa moyo madhubuti mbele ya jinai za utawala wa Aal Saud wa Saudi Arabia na kwamba, hawatasalimu amri.
-
Kuwait yakadhibisha madai ya Reuters dhidi ya Iran
Aug 03, 2017 02:33Wizara ya Mambo ya Nje ya Kuwait imetoa taarifa ikikadhibisha madai ya shirika la habari la Reuters kwamba Iran inatumia maji ya Kuwait kutuma silaha kwa harakati ya Ansarullah ya Yemen.
-
Ansarullah Yemen: Saudia inataka kuwa polisi wa Marekani katika Mashariki ya Kati
Jun 08, 2017 02:26Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, utawala wa Aal Saud wa Saudi Arabia umekuwa ukifanya kila uwezalo ili uwe polisi ya Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati na uwe ukizichukulia maamuzi tawala zote za Kiarabu.
-
Marekani ndiye muhusika mkuu wa vita vya Yemen
Jun 05, 2017 04:20Katibu Mkuu wa harakati ya Answarullah ya nchini Yemen amesisistiza kuwa, Marekani ndiye muhusika mkuu wa mashambulizi na uvamizi wa Yemen ambao unatekelezwa na Saudi Arabia na Imarati.
-
Ansarullah: Marekani na Israel ni pande mbili za sarafu moja
Apr 24, 2017 08:14Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen, Abdul-Malik Badreddin al-Houthi amesema Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel ni pande mbili za sarafu moja ambazo kwa pamoja zinaunga mkono kwa hali na mali juhudi za kuibomoa na kuisambaratisha Yemen kupitia uvamizi wa kijeshi ulioanzishwa na Saudi Arabia.
-
Ansarullah: Saudia imeshindwa kufikia malengo yake haramu Yemen
Mar 26, 2017 06:33Harakati ya Ansarullah ya Yemen imesema utawala wa kifalme wa Aal-Saud umeshindwa kupata natija katika mashambulizi yake ya kinyama dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu na jirani yake.
-
Al-Houthi: Serikali mpya ya Yemen ni kwa maslahi ya Wayemen wote
Nov 30, 2016 14:35Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen, Abdul Malik al-Houthi amesema kuundwa serikali mpya ya Wokovu wa Kitaifa ni kwa maslahi ya wananchi wote wa nchi hiyo na ni hatua inayopania kuwapa wananchi hao mamlaka ya kujitawala na kujifanyia maamuzi wao wenyewe.
-
Ould Sheikh apinga serikali ya Uokovu wa Kitaifa Yemen
Nov 30, 2016 04:09Mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Yemen amedai kuwa hatua ya Harakati ya Ansarullah ya kuunda serikali mpya ya Uokovu wa Kitaifa nchini humo haiisaidii chochote nchi hiyo wala kusogeza mbele mchakato wa amani nchini humo.
-
Oman: Harakati ya Kiislamu ya Answarullah nchini Yemen sio ya kigaidi
Nov 29, 2016 13:23Serikali ya Oman imetangaza upinzani wake dhidi ya pendekezo la Saudi Arabia la kuiweka Harakati ya Kiislamu na ya wananchi ya Answarullah nchini Yemen katika orodha ya pamoja ya wanachama wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi kuhusiana na ugaidi.