-
Ansarullah: Umoja wa Mataifa uchunguze ukatili wa Saudia Yemen
Oct 17, 2016 04:28Harakati ya Ansarullah ya Yemen imetoa wito wa kufanyika uchunguzi wa kimataifa juu ya mauaji ya kinyama yaliyofanywa na ndege za kivita za Saudi Arabia nchini Yemen hivi karibuni.
-
Iran: Madai kuwa Tehran inaipa silaha Ansarullah ya Yemen haya msingi
Sep 29, 2016 13:46Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekanusha vikali madai yaliyotolewa na Saudi Arabia kuwa Tehran inalifadhili kundi la wanaharakati wa Ansarullah wa Yemen.
-
Saudi Arabia yashadidisha mashambulio dhidi ya shule na makazi ya raia Yemen
Sep 15, 2016 07:38Ndege za kivita za Saudi Arabia Jumatano asubuhi ziliendelea kudondosha mabomu katika maeneo ya raia nchini Yemen kwa kushambulia eneo la Aal Aqab katika mji wa Sahar katika mkoa wa Sa'ada kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Marekani inaunga mkono hujuma za Saudia dhidi ya Wayemen
Sep 03, 2016 03:20Kiongozi wa harakati ya Ansarullah nchini Yemen amelaani vikali Marekani kwa kutoa misaada ya kijeshi na kisiasa kwa Saudi Arabia katika mashambulizi yake ya kudondosha mabomu dhidi ya watu wa Yemen.
-
Marekani, chanzo cha fitina katika Ulimwengu wa Kiislamu
Jul 29, 2016 16:33Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesisitiza kuwa chanzo cha fitina zote na migogoro ya hivi karibuni katika Ulimwengu wa Kiislamu ni hatua za wazi na za siri za Marekani na waitifaki wake.
-
Sherehe za Umoja wa Yemen zagubikwa na hujuma za Saudia
May 23, 2016 07:29Sherehe za mwaka wa 26 wa kuungana Yemen mbili zimefanyika katika mji mkuu wa nchi hiyo Sana'a huku ndege za kivita zikipita juu ya eneo la sherehe hizo siku ya Jumapili.
-
Ansarullah: Mazungumzo ya Yemen yatafanikiwa iwapo Saudia itasitisha vita
May 08, 2016 13:32Harakati ya wananchi wa Yemen ya Ansarullah imesema ili mazungumzo ya kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa Yemen yafanikiwe, sharti utawala wa Saudi Arabia usitishe mashambulizi yake mara moja.
-
Onyo la Ansarullah kwa kutoheshimiwa usitishaji vita nchini Yemen
Apr 13, 2016 06:56Siku chache zikiwa zimepita tangu kutangazwa kusimamishwa vita nchini Yemen, msemaji wa harakati Ansarullah ya nchi hiyo amesema kuwa, iwapo makubaliano hayo hayataheshimiwa, basi fursa za kufanikiswa mazungumzo ya kutatua mgogoro wa nchi hiyo zitapotea.
-
Kuanza usitishwaji vita Yemen
Apr 11, 2016 04:47Usitishwaji vita unaosimamiwa na Umoja wa Mataifa Yemen ulianza jana usiku (Jumapili) kabla ya kuanza mazungumzo ya amani baina ya pande hasimu nchini Kuwait.
-
Kutimia mwaka mmoja wa mashambulio ya kivamizi ya Saudi Arabia dhidi ya Yemen
Mar 27, 2016 08:21Jumamosi ya jana tarehe 26 Machi ilisadifiana na kutimia mwaka mmoja tangu Saudi Arabia ilipochukua uamuzi wa kuivamia na kuishambulia kijeshi nchi ya Yemen.