Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ansarullah

  • Ansarullah: Hii ndiyo sababu iliyotufanya tuache kuishambulia kijeshi Imarati

    Ansarullah: Hii ndiyo sababu iliyotufanya tuache kuishambulia kijeshi Imarati

    Mar 19, 2021 04:34

    Kiongozi mmoja mwandamizi wa Harakati ya Asarullah ya Yemen amefichua kuwa, barua ya kiongozi wa harakati hiyo, Sayyid Abdul Malik al Houthi kwa Umoja wa Falme za Kiarabu iliyoipelekea Abu Dhabi ikomeshe mashambulio yake nchini Yemen, ndiyo sababu iliyoifanya Ansarullah isimamishe mashambulizi yake ya kulipiza kisasi dhidi ya Imarati.

  • Makumi ya mamluki wa muungano vamizi wa Saudia waangamizwa na kujeruhiwa katika mapigano Taiz, Yemen

    Makumi ya mamluki wa muungano vamizi wa Saudia waangamizwa na kujeruhiwa katika mapigano Taiz, Yemen

    Mar 18, 2021 23:17

    Makumi ya mamluki wa muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia katika vita wameuawa na kujeruhiwa katika mapigano baina yao na jeshi na makundi ya kujitolea ya wananchi wa Yemen katika mkoa wa Taiz nchini humo.

  • Ansarullah: Marekani haitaki amani irejee Yemen

    Ansarullah: Marekani haitaki amani irejee Yemen

    Mar 16, 2021 04:46

    Msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema: Serikali ya Marekani kwa matamshi yake ya upotoshaji na yasiyo ya kimantiki imeonyesha kuwa haitaki kuona amani ikirejea Yemen."

  • Kuacha kushambuliwa na kuzingirwa Yemen, sharti la Ansarullah la kutoipiga kwa makombora Saudia

    Kuacha kushambuliwa na kuzingirwa Yemen, sharti la Ansarullah la kutoipiga kwa makombora Saudia

    Mar 13, 2021 23:07

    Mjumbe wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amesema kuwa, jeshi na vikosi vya kujitolea vya wananchi wa nchi hiyo vitaacha kuipiga kwa makombora Saudi Arabia iwapo tu wavamizi wa nchi yao wataacha kuizingira na kuishambulia Yemen.

  • Ansarullah: Makombora yetu ni jinamizi kwa wavamizi wa Yemen

    Ansarullah: Makombora yetu ni jinamizi kwa wavamizi wa Yemen

    Mar 10, 2021 03:45

    Mjumbe mmoja wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, makombora ya balestiki ya nchi hiyo ni jinamizi kwa maadui.

  • Saudia: Aramco na bandari ya mafuta ya Ras Tanura zimeshambuliwa kwa makombora ya Ansarullah

    Saudia: Aramco na bandari ya mafuta ya Ras Tanura zimeshambuliwa kwa makombora ya Ansarullah

    Mar 08, 2021 04:12

    Wizara ya Ulinzi ya Saudi Arabia imethibitisha kuwa vikosi vya ulinzi vya Yemen vimefanya mashambulio makubwa ya makombora na ndege zisizo na rubani ndani ya ardhi ya nchi hiyo.

  • Answaarullah: Saudia acheni kuishambulia miji ya Yemen ili nasi tusiishambulie miji yenu

    Answaarullah: Saudia acheni kuishambulia miji ya Yemen ili nasi tusiishambulie miji yenu

    Mar 01, 2021 03:20

    Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Answarullah ya Yemen amesisitiza kuwa, harakati hiyo itaendelea kuishambulia miji na maeneo ya Saudi Arabia maadamu uko wa Aal Saud unaendelea kuishambulia miji ya Yemen.

  • Ansarullah: UN haina ujasiri wa kulaani mzingiro wa Saudia na washirika wake dhidi ya Yemen

    Ansarullah: UN haina ujasiri wa kulaani mzingiro wa Saudia na washirika wake dhidi ya Yemen

    Feb 25, 2021 06:53

    Msemaji wa harakati ya wananchi wa Yemen ya Ansarullah amesisitiza ulazima wa kudumishwa mapambano ya kukabiliana na wavamizi wa nchi hiyo na kusema kuwa, Umoja wa Mataifa hauna hata ujasiri wa kulaani mzingiro wa Saudi Arabia na washirika wake dhidi ya taifa la Yemen.

  • Ansarullah: Wito wa Biden wa kusitishwa vita Yemen si wa kweli

    Ansarullah: Wito wa Biden wa kusitishwa vita Yemen si wa kweli

    Feb 18, 2021 03:05

    Mjumbe wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amejibu uvumi unaosambazwa kwamba Marekani inafanya juhudi za kusimamisha mashambulizi dhidi ya Yemen akisema serikali ya Washington ndiyo kinara na kamanda wa mashambulizi yanayofanywa dhidi ya Yemen na sababu kuu ya masaibu ya taifa la nchi hiyo.

  • Ansarullah yatoa indhari kwa mashirika ya ndege kutotumia viwanja vya ndege vya Saudia

    Ansarullah yatoa indhari kwa mashirika ya ndege kutotumia viwanja vya ndege vya Saudia

    Feb 11, 2021 04:33

    Mwakilishi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Asarullah ya Yemen amesisitiza kuwa, Utawala wa Aal Saud unatumia viwanja vya ndege vya Saudia kutekeleza mashambulizi dhidi ya Yemen na kuyatahadharisha mashirika ya ndege kutotumia viwanja hivyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS