-
Shambulio kubwa lililofanywa na Israel bila ya onyo lolote laua Wapalestina 81 Ghaza
Oct 20, 2024 03:15Wapalestina wasiopungua 81 wameuawa shahidi katika shambulizi la kinyama lililofanywa na jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel kwenye mji wa Beit Lahiya kaskazini mwa Ukanda wa Ghaza.
-
Bunge la Iraq lakosoa vikali harakati za kutia shaka za balozi mdogo wa Marekani nchini humo
Apr 15, 2019 23:38Kamati ya Usalama na Ulinzi ya Bunge la Iraq sambamba na kukosoa vikali harakati za kutia shaka za balozi mdogo wa Marekani mjini Baghdad, imesisitiza kuwa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iraq inatakiwa kuchukua hatua kuhusiana na suala hilo.
-
Syria yalaani hatua ya Marekani kutuma askari zaidi nchini humo
Apr 28, 2016 23:38Serikali ya Syria imekosoa vikali hatua ya Marekani kutuma askari zaidi nchini humo na kutaja hatua hiyo kama uvamizi dhidi ya uhuru wa kujitawala wa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Onyo la Ansarullah kwa kutoheshimiwa usitishaji vita nchini Yemen
Apr 13, 2016 02:26Siku chache zikiwa zimepita tangu kutangazwa kusimamishwa vita nchini Yemen, msemaji wa harakati Ansarullah ya nchi hiyo amesema kuwa, iwapo makubaliano hayo hayataheshimiwa, basi fursa za kufanikiswa mazungumzo ya kutatua mgogoro wa nchi hiyo zitapotea.