-
Jeshi la Israel lamuua shahidi mwanamke wa Palestina
Jun 02, 2016 14:51Askari wa jeshi katili la utawala haramu wa Israel wamemuua shahidi mwanamke wa Kipalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan hii leo.
-
Wapalestina waandamana Ukanda wa Gaza kulaani mzingiro wa Israel
May 08, 2016 13:07Mamia ya wananchi wa Palestina wameingia mabarabarani kufanya maandamano ya kulaani mzingiro wa kibaguzi wa takriban mwongo mmoja uliowekwa na Utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Federica Mogherini: Umoja wa Ulaya hautambua umiliki wa Israel kwa miinuko ya Golan ya Syria
Apr 20, 2016 14:32Mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa, umoja huo hauutambui rasmi umiliki na utawala wa Kizayuni wa Israel kwa miinuko ya Golan ya Syria.
-
Israel yaendeleza ukatili wake, yaua shahidi Wapalestina 2
Mar 24, 2016 15:06Askari wa utawala wa kizayuni wa Israel wameua shahidi Wapestina wawili kwa kuwafyatulia risasi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Israeli yazidisha hujuma dhidi ya vyombo vya habari Palestina
Mar 19, 2016 07:50Shirika moja la kutetea uhuru wa kujieleza na haki za waandishi wa habari limefichua kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umeshadidisha hujuma zake dhidi ya taasisi hiyo muhimu huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Israel yazidisha uchokozi wa kijeshi dhidi ya Lebanon
Mar 19, 2016 07:37Baada ya kufichuka awamu mpya ya ujasusi wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Lebanon, mbunge mmoja wa nchi hiyo amesema hatua ya Wazayuni kujipenyeza katika laini za mawasiliano ya Lebanon ni hujuma kwa usalama na mamlaka ya kitaifa ya nchi hiyo na ametaka hatua zichukuliwe kukabiliana hali hiyo.
-
Mtoto Mpalestina auawa shahidi Gaza katika hujuma ya Israel
Mar 12, 2016 08:16Mtoto Mpalestina aliyekuwa na umri wa miaka 10 ameuawa shahidi katika hujuma mpya ya utawala haramu wa Israel dhidi ya Ukanda wa Ghaza.