Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ayatullah Ahmad Khatami

  • Ayatullah Khatami: Viongozi wa eneo la Kurdistan wamefanya hiana kubwa

    Ayatullah Khatami: Viongozi wa eneo la Kurdistan wamefanya hiana kubwa

    Oct 06, 2017 14:31

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran, Ayatullah Sayyid Ahmad Khatami amesema kuwa, kitendo cha viongozi wa eneo la Kurdistan ya Iraq kutosikiliza nasaha za serikali kuu ya Iraq na nchi za eneo na kisha kuitisha kura ya maoni ya kutaka kujitenga, ni hiana.

  • Ayatullah Khatami: Mauaji dhidi ya Waislamu wa Myanmar, ni maafa makubwa ya kibinaadamu

    Ayatullah Khatami: Mauaji dhidi ya Waislamu wa Myanmar, ni maafa makubwa ya kibinaadamu

    Sep 15, 2017 13:57

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran, Ayatullah Sayyid Ahmad Khatami amesema kuwa, mauaji kuwalenga Waislamu wa Myanmar ni maafa makubwa ya kibinaadamu na kwamba, utawala haramu wa Israel unahusika nyuma ya pazia katika mauaji na kuwafanya malaki ya Waislamu kuwa wakimbizi.

  • Khatibu: Siku ya Kimataifa ya Quds imeiletea Iran heshima

    Khatibu: Siku ya Kimataifa ya Quds imeiletea Iran heshima

    Jun 23, 2017 14:13

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amesema kushiriki kwa wingi taifa la Iran katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds, ni jambo ambalo limeuletea heshima na izza mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Ayatullah Khatami: Bahrain imegeuzwa kuwa jela kubwa ya wananchi

    Ayatullah Khatami: Bahrain imegeuzwa kuwa jela kubwa ya wananchi

    May 26, 2017 14:01

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran sambamba na kulaani hujuma na uvamizi wa vikosi vya usalama vya Bahrain dhidi ya nyumba ya Sheikh Issa Qassim mwanazuoni mashuhuri wa nchi hiyo ametangaza kuwa, utawala wa Aal khalifa kwa kufanya ukandamizaji, kamatakamata na aina mbalimbali za jinai, umeigeuza nchi hiyo na kuwa jela kubwa kwa ajili ya wananchi.

  • Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Kujitokeza kwa wingi Wairani katika upigaji kura kutawashangaza maadui

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Kujitokeza kwa wingi Wairani katika upigaji kura kutawashangaza maadui

    Apr 28, 2017 14:49

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo mjini Tehran amesema, kujitokeza kwa wingi wananchi wa Iran katika upigaji kura hapo Mei 19 ni jambo ambalo litawashangaza maadui na kuwapelekea wapoteze matumaini.

  • Ayatullah Khatami: Harakati ya Dei 19 ilikuwa nembo ya umoja wa taifa la Iran

    Ayatullah Khatami: Harakati ya Dei 19 ilikuwa nembo ya umoja wa taifa la Iran

    Jan 06, 2017 14:14

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, harakati ya Dei 19 iliyosadifiana na Januari 9 mwaka 1978 ulikuwa mwanzo wa hatua ya pili ya mapinduzi ya Kiislamu na nembo ya umoja wa taifa la Iran.

  • Ayatullah Khatami: Saudia ni chimbuko la magaidi wa Daesh (ISIS)

    Ayatullah Khatami: Saudia ni chimbuko la magaidi wa Daesh (ISIS)

    Sep 16, 2016 14:56

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran amesema jinai za kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh au ISIS zinatokana na fikra za kuwakufurisha Waislamu ambazo zinatawala Saudi Arabia.

  • Maafa ya Mina ni thibitisho watawala wa Aal Saud hawastahiki kusimamia Haram Mbili Takatifu

    Maafa ya Mina ni thibitisho watawala wa Aal Saud hawastahiki kusimamia Haram Mbili Takatifu

    Sep 12, 2016 07:58

    Khatibu wa Sala ya Idul Adhaa mjini Tehran amesema maafa ya Mina katika msimu wa Hija mwaka jana ni thibitisho kuwa utawala wa ukoo wa Aal Saud haustahiki kusimamia Maeneo Mawili Matakatifu ya Waislamu.

  • Iran haitosalimu amri mbele ya madola ya kibeberu

    Iran haitosalimu amri mbele ya madola ya kibeberu

    Mar 25, 2016 15:51

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran amesistiza kuwa taifa la Iran halitosalimu amri mbele ya matakwa ya madola ya kibeberu.

Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS