Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Bahrain

  • Maandamano ya watu wa Bahrain kupinga mapatano na utawala wa Israel

    Maandamano ya watu wa Bahrain kupinga mapatano na utawala wa Israel

    Oct 19, 2020 04:13

    Wananchi wenye hasira nchini Bahrain wameandamana kupinga safari ya ujumbe wa Marekani-Kizayuni katika nchi yao kwa lengo la kutangaza rasmi mapatano ya kuanzishwa uhusiano wa kawaida kati ya Bahrain na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Wabahrain wataka iitishwe kura ya maoni kubatilisha hatua ya nchi yao kuanzisha uhusiano na Israel

    Wabahrain wataka iitishwe kura ya maoni kubatilisha hatua ya nchi yao kuanzisha uhusiano na Israel

    Oct 18, 2020 11:38

    Harakati ya Kiislamu ya Al-Wifaq ya nchini Bahrain imetaka iitishwe kura ya maoni ya kubatilisha uamuzi wa utawala wa Aal Khalifa wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.

  • Bahrain yasema itawafunga jela wanaopinga uhusiano wake na Israel

    Bahrain yasema itawafunga jela wanaopinga uhusiano wake na Israel

    Oct 14, 2020 04:31

    Utawala wa kifalme Bahrain umesema utawakamata na kuwafunga jela wale wote wanaopinga uhusiano wa nchi hiyo na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Amir-Abdollahian: Israel inapanga njama ya kuigawanya vipande vipande Saudi Arabia

    Amir-Abdollahian: Israel inapanga njama ya kuigawanya vipande vipande Saudi Arabia

    Oct 02, 2020 04:37

    Msaidizi maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema: Utawala wa Kizayuni unapanga njama ya kuigawanya vipande vipande Saudi Arabia.

  • Sheikh Isa Qassim: Kuwa na uhusiano na Israel ni kujitenga na umma wa Kiislamu

    Sheikh Isa Qassim: Kuwa na uhusiano na Israel ni kujitenga na umma wa Kiislamu

    Sep 30, 2020 03:29

    Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Bahrain Sheikh Isa Qassim amesema Marekani na Israel ni maadui nambari moja wa umma wa Kiislamu na kuongeza kuwa, kila ambaye ataungana na Israel, basi atakuwa amejitenga na umma wa Kiislamu.

  • Wabunge wa Ufaransa nao wapinga mapatano ya Imarati, Bahrain na Israel

    Wabunge wa Ufaransa nao wapinga mapatano ya Imarati, Bahrain na Israel

    Sep 21, 2020 10:10

    Wabunge 61 wa Bunge la Ufaransa wamekosoa mapatano ya kuanzishwa uhusiano baina ya Imaratina Bahrain na utawala haramu wa Israel.

  • Tofauti baina ya Mapatano ya Abraham, Camp David na Wadi Araba

    Tofauti baina ya Mapatano ya Abraham, Camp David na Wadi Araba

    Sep 18, 2020 03:40

    Nchi za Kiarabu zimesaini mapatano mara tatu na utawala wa Kizayuni wa Israel na ya hivi karibuni zaidi kati ya mapatano hayo ni yale yliyopewa jina la Mapatano ya Abraham (Abraham Accords) yaliyosainiwa tarehe 15 mwezi huu wa Septemba katika Ikulu ya Rais wa Marekani, White House. Mapatano hayo matatu yana tofauti kadhaa na muhimu.

  • Mapatano ya kuanzisha uhusiano na Israel ni dhambi isiyosameheka

    Mapatano ya kuanzisha uhusiano na Israel ni dhambi isiyosameheka

    Sep 17, 2020 01:27

    Nchi za Imarati na Bahran juzi Septemba 15 zilisaini mapatano ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel. Sherehe ya kutiwa saini mapatano hayo ilifanyika ikulu ya White House mjini Washington chini ya usimamizi wa Rais Donald Trump wa Marekani.

  • Al-Wifaq ya Bahrain: Makubaliano na utawala haramu wa Israel ni jinai ya kihistoria

    Al-Wifaq ya Bahrain: Makubaliano na utawala haramu wa Israel ni jinai ya kihistoria

    Sep 16, 2020 06:48

    Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Mwafaka wa Kiislamu na Kitaifa nchini Bahrain (Al Wifaq) amesema kuwa, kutiwa saini hati ya mapatano baina ya Bahrain, Imarati na utawala wa Kizayuni wa Israel ni jinai ya kihistoria.

  • 15 Septemba, siku ya ghadhabu ya Waarabu dhidi ya watawala vibaraka

    15 Septemba, siku ya ghadhabu ya Waarabu dhidi ya watawala vibaraka

    Sep 15, 2020 10:42

    Imarati na Bahrain leo Jumanne zinatarajiwa kutia saini mapatano ya amani na utawala wa Kizayuni wa Israel katika ikulu ya Rais wa Marekani, White House, mjini Washington. Hatua hii imeyakasirisha sana mataifa ya Waislamu na Waarabu ambayo yameitaja kuwa ni usaliti dhidi ya Uislamu, Palestina na Quds tukufu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS