-
Bunge la Bahrain lataka kuangaliwa upya uhusiano wa nchi hiyo na Israel
Nov 07, 2023 23:29Naibu Spika wa Bunge la Kitaifa la Bahrain amesema Wabunge wa nchi hiyo wanakishinikiza chombo hicho cha kutunga sheria kubatilisha uhusiano wa kawaida baina ya nchi hiyo ya Kiarabu ya Ghuba ya Uajemi na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Bahrain yasitisha uhusiano wa kibiashara na Israel, yamrejesha nyumbani balozi wake
Nov 03, 2023 04:34Bunge la Bahrain limetangaza kuwa, limesitisha uhusiano wa kiuchumi na utawaa wa Kizayuni wa Israel na kuwaondoa mabalozi wake kutokana na kuendelea mashambulio ya jeshi la Israel dhidi ya wakazi wa Ukanda wa Gaza.
-
Hizbullah yaikosoa Bahrain kwa kuruhusu kufunguliwa ubalozi wa Israel
Sep 06, 2023 07:06Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imeujia juu utawala wa Aal-Khalifa wa Bahrain kwa kuuruhusu utawala haramu wa Israel kufungua ubalozi wake katika nchi hiyo ya Kiarabu ya Ghuba ya Uajemi.
-
Mama wa wafungwa wa kisiasa Bahrain wajiunga na kampeni ya watoto wao ya kususia kula
Aug 30, 2023 09:59Baadhi ya akina mama wa wafungwa wa kisiasa nchini Bahrain wameanza mgomo wa kususia kula wakipinga hali mbaya ya magereza na kuwaunga mkono watoto wao.
-
Wabahrain waandamana kuwaunga mkono wafungwa waliogoma kula
Aug 19, 2023 06:50Wananchi wa Bahrain wamefanya maandamano katika miji mbalimbali ya nchi hiyo ukiwemo mji mjuu Manama, kwa shabaha ya kuwaunga mkono na kusimama pamoja na wafungwa waliogoma kula wakilalamikia hali mbaya ya jela.
-
Upinzani Bahrain wapinga kuajiriwa madaktari wa Israel
Aug 08, 2023 03:52Mrengo mkubwa zaidi wa upinzani Bahrain umekosoa vikali azma ya utawala wa Aal-Khalifa ya kuwaajiri madaktari wa utawala haramu wa Israel katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Human Rights Watch yakosoa ubaguzi dhidi ya Waislamu wa Kishia Bahrain
Jul 09, 2023 01:06Shirika la Haki za Binadamu la Human Rights Watch limekosoa ubaguzi unaofanywa na utawala wa Bahrain dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo na kutoa mwito wa kuhitimisha ubaguzi huo.
-
Utawala wa Aal Khalifa waendelea kuwakamata vijana wa Bahrain
Jun 15, 2023 08:17Utawala wa Aal Khalifa nchini Bahrain unaendelea kuwakamata kiholela vijana wa kiume na kike wa nchi hiyo katika maeneo tofauti ya nchi kwa sababu za kisiasa.
-
Wabahrain waujia juu ubalozi wa Marekani mjini Manama kwa kutangaza ushoga nchini humo
Jun 05, 2023 06:48Wananchi wa Bahrain wametangaza hasira na masikitiko yao kutokana na kuwekwa bendera ya mashoga na mabaradhuli kwenye kurasa za mitandao ya kijamii ya ubalozi wa Marekani mjini Manama na uungaji mkono wa ubalozi huo kwa kampeni ya kueneza ushoga nchini mwao.
-
Amnesty International: Utawala wa Bahrain ungali unakandamiza uhuru wa kujieleza
Apr 01, 2023 05:49Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limetangaza kuwa, utawala wa kifalme wa Bahrain umeendelea kukandamiza uhuru wa kujieleza na kuendelea kuwashikilia wafungwa raia wanaoukosoa utawala huo.