Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Bahrain

  • Wabahrain waandamana kulaani safari ya Rais wa Israel nchini kwao

    Wabahrain waandamana kulaani safari ya Rais wa Israel nchini kwao

    Dec 06, 2022 02:17

    Maandamano makubwa ya kupinga safari ya Rais Isaac Herzog wa utawala haramu wa Israel yamefanyika katika mji mkuu wa Bahrain, Manama.

  • Mrithi wa Ufalme Bahrain apewa mwaliko na Netanyahu

    Mrithi wa Ufalme Bahrain apewa mwaliko na Netanyahu

    Nov 14, 2022 10:57

    Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa zamani wa Israel anayetazamiwa kuunda serikali mpya ya utawala wa Kizayuni amemualika Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Bahrain, Salman bin Hamad Aal Khalifah kuitembelea ardhi ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kupachikwa jina la Israel.

  • Safari ya Papa na mchezo mpya wa Al Khalifa; Uvumilivu kwa wasio Waislamu na ukatili dhidi ya Waislamu wa Bahrain

    Safari ya Papa na mchezo mpya wa Al Khalifa; Uvumilivu kwa wasio Waislamu na ukatili dhidi ya Waislamu wa Bahrain

    Nov 07, 2022 02:15

    Safari ya Kiongozi wa Kanisa katoliki Duniani, Papa Francis, nchini Bahrain kwa ajili eti ya kushiriki katika mkutano wa "Amani na Kuishi Pamoja" imefanyika katika hali ambayo hakushuhudiwi amani wala kuishi pamoja kwa usalama nchini Bahrain.

  • Sheikh Isa Qassim: Uchaguzi ujao unalenga kuimarisha udikteta Bahrain

    Sheikh Isa Qassim: Uchaguzi ujao unalenga kuimarisha udikteta Bahrain

    Nov 04, 2022 02:24

    Kiongozi mashuhuri wa kidini nchini Bahrain amesema uchaguzi ujao wa Bunge nchini humo hauna lengo jingine isipokuwa kuimarisha mienendo ya kiimla na kidikteta ya watawala wa Aal-Khalifa.

  • Ukiukwaji wa haki za binadamu; ombi la makundi ya kutetea haki za binadamu kwa Papa

    Ukiukwaji wa haki za binadamu; ombi la makundi ya kutetea haki za binadamu kwa Papa

    Nov 02, 2022 08:05

    Taasisi 9 za kutetea haki za binadamu zimetangaza kuwa, Papa Francis Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani akiwa ziarani huko Bahrain anapasa kutoa wito kwa watawala wa nchi hiyo ili wakomeshe hatua zao za kukiuka haki za binadamu.

  • HRW: Utawala wa Bahrain unatumia sheria za kuwatenga kisiasa wapinzani

    HRW: Utawala wa Bahrain unatumia sheria za kuwatenga kisiasa wapinzani

    Nov 01, 2022 02:28

    Shirika la Haki za Binadamu la Human Rights Watch limetangaza kuwa, utawala wa Bahrain unatumia sheria za kuwatenga kisiasa wapinzani.

  • Wanazuoni wa Bahrain wanaosota jela: Tunatumai Papa Francis atazungumza neno la haki

    Wanazuoni wa Bahrain wanaosota jela: Tunatumai Papa Francis atazungumza neno la haki

    Oct 26, 2022 12:57

    Wanazuoni wa Bahrain wanaosota kwenye jela za utawala wa kifalme wa nchi hiyo wa ukoo wa Aal Khhalifa wameeleza katika taarifa waliyotoa kumhutubu Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis kwamba, wanatumai kiongozi huyo wa kidini atasema ukweli na kuitikia wito wa imani katika ziara yake ijayo huko Bahrain.

  • Sheikh Isa Qassem: Viongozi wa dini mbalimbali msiamini madai ya utawala wa Bahrain

    Sheikh Isa Qassem: Viongozi wa dini mbalimbali msiamini madai ya utawala wa Bahrain

    Oct 22, 2022 12:32

    Kiongozi wa kidini wa Mapinduzi ya Bahrain amewataka washiriki wa kongamano la viongozi wa dini duniani wasiamini kaulimbiu na madai ya utawala wa kifalme wa nchi hiyo kuhusu watu kuishi kwa amani na masikilizano.

  • Bahrain yajiondoa kwenye uchaguzi wa taasisi ya UN kufuatia ukosoaji

    Bahrain yajiondoa kwenye uchaguzi wa taasisi ya UN kufuatia ukosoaji

    Oct 06, 2022 03:20

    Bahrain imelazimika kujiondoa kwenye uchaguzi ujao wa kuwasaka wanachama wapya wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UNHRC), kufuatia jitihada na lalama za asasi za kutetea haki za binadamu juu ya rekodi nyeusi ya serikali ya Manama.

  • BCHR: Hali ya kibinadamu katika gereza kuu la Jau Bahrain ni mbaya

    BCHR: Hali ya kibinadamu katika gereza kuu la Jau Bahrain ni mbaya

    Sep 20, 2022 02:24

    Kituo cha Haki za Binadamu cha Bahrain (BCHR) kimetangaza kuwa, hali ya wafungwa wanaoshikiliwa katika gereza la Jau nchini humo ni mbaya sana.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS