Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Bahrain

  • Aal Khalifa wabebeshwa dhima ya mauaji na kutupwa baharini miili ya vijana watatu wanamapinduzi wa Bahrain

    Aal Khalifa wabebeshwa dhima ya mauaji na kutupwa baharini miili ya vijana watatu wanamapinduzi wa Bahrain

    Feb 20, 2018 04:44

    Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Amalul-Islami ya Bahrain amelaani mauaji ya vijana watatu wanamapinduzi wa nchi hiyo ambao baada ya kuuliwa, viwiliwili vyao vilitupwa baharini.

  • Wanamapinduzi wa Bahrain wasisitiza kuhitimishwa enzi za utawala uliooza wa Aal Khalifa

    Wanamapinduzi wa Bahrain wasisitiza kuhitimishwa enzi za utawala uliooza wa Aal Khalifa

    Feb 15, 2018 04:51

    Kiongozi mmoja wa harakati ya Muungano wa Vijana wa Mapinduzi ya Februari 14 ya Bahrain amesema: Wanamapinduzi watapinga mpango wowote ule utakaolenga kuubakisha madarakani utawala wa Aal Khalifa.

  • Rekodi mpya ya utawala wa Al Khalifa wa Bahrain katika kukiuka haki za binadamu

    Rekodi mpya ya utawala wa Al Khalifa wa Bahrain katika kukiuka haki za binadamu

    Feb 15, 2018 00:35

    Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch la Bahrain limetangaza kuwa, kumefanyika vitendo 995 vya ukiukaji wa sheria za kijamii na haki za binadamu nchini humo katika mwezi uliopita wa Januari.

  • Wimbi la pili la maandamano ya wananchi nchini Bahrain laanza kwa mnasaba wa Februari 14

    Wimbi la pili la maandamano ya wananchi nchini Bahrain laanza kwa mnasaba wa Februari 14

    Feb 14, 2018 13:19

    Wimbi la pili la maandamano na harakati ya malalamiko ya wananchi nchini Bahrain kwa mnasaba wa mwaka wa saba wa mapinduzi ya tarehe 14 Februari, limeanza jioni ya leo Jumatano katika maeneo tofauti ya nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Matukio 995 ya ukiukaji haki za binadamu yameripotiwa Bahrain mwezi Januari pekee

    Matukio 995 ya ukiukaji haki za binadamu yameripotiwa Bahrain mwezi Januari pekee

    Feb 13, 2018 23:21

    Kituo cha kutetea haki za binadamu cha Bahrain kimeripoti kuwa matukio 995 ya ukiukaji haki za kijamii na za binadamu yamejiri nchini humo ndani ya mwezi mmoja uliopita wa Januari.

  • Utawala wa Bahrain wazuia Ibada ya Swala ya Ijumaa katika eneo la Al Diraz

    Utawala wa Bahrain wazuia Ibada ya Swala ya Ijumaa katika eneo la Al Diraz

    Feb 09, 2018 22:06

    Utawala wa kiimla wa Bahrain umetumia wanajeshi wake kuendelea kuzingira eneo la Al Diraz anakoishi mwanazuoni maarufu wa Kiislamu Sheikh Isa Qassim ambaye kwa wiki ya 82 sasa anazuiwa kufungua msikiti wa Imam Swadiq AS kwa ajili ya Swala ya Ijumaa.

  • Al Wifaq ya Bahrain: Tutaendelea na mapinduzi hadi kuung'oa utawala Aal Khalifa

    Al Wifaq ya Bahrain: Tutaendelea na mapinduzi hadi kuung'oa utawala Aal Khalifa

    Feb 09, 2018 04:26

    Jumuiya ya Kiislamu ya al Wifaq ya Bahrain imetangaza kuwa, itaendeleza mapambano yaliyoanza Februari 14 mwaka 2011 kwa lengo la kuuondoa madarakani utawala wa Aal Khalifa.

  • Mwanamfalme wa Bahrain atembelea Israel, atazamiwa kuhudhuria bunge

    Mwanamfalme wa Bahrain atembelea Israel, atazamiwa kuhudhuria bunge

    Feb 05, 2018 13:07

    Waziri wa Mawasiliano wa utawala wa Kizayuni wa Israel Ayoub Kara amethibitisha kuwa amekutana na mwanamfalme wa Bahrain Mubarak Aal Khalifa mjini Tel Aviv.

  • HRW: Bahrain imewapokonya uraia watu 8 na kuwapeleka Iraq

    HRW: Bahrain imewapokonya uraia watu 8 na kuwapeleka Iraq

    Feb 04, 2018 13:01

    Katika kile kinachoonekana na muendelezo wa sera kandamizi za Bahrain, utawala wa Aal-Khalifa umewapokonya uraia watu wanane na kuwapeleka nchini Iraq.

  • Ukiukwaji wa haki za binadamu Bahrain na kimya cha UN na madola ya Magharibi

    Ukiukwaji wa haki za binadamu Bahrain na kimya cha UN na madola ya Magharibi

    Feb 03, 2018 04:36

    Utawala wa Aal Khalifa nchini Bahrain unaendelea kutekeleza sera za ukandamizaji dhidi ya wapinzani ikiwa ni pamoja na kuwanyonga, kuwatesa, kuwapokonya uraia na kuwalazimui kuihama nchi. Hayo yote yanafanyika huku kukiwa na kimya kikubwa cha madola ya Magharibi yanayodai kutetea haki za binadamu na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS