Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Bahrain

  • Muungano wa Saudia, Imarati na Bahrain huko Davos, ni kosa la kistratajia

    Muungano wa Saudia, Imarati na Bahrain huko Davos, ni kosa la kistratajia

    Jan 27, 2018 04:15

    Msaidizi Maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa ameutaja muungano eti dhidi ya Iran wa Saudi Arabia, Umoja wa Falme za Kiarabu na Bahrain katika Mkutano wa Kimataifa wa uchumi huko Davos nchini Uswisi kama kosa la kistratajia.

  • Utawala wa Bahrain waendelea kuwakandamiza wapinzani

    Utawala wa Bahrain waendelea kuwakandamiza wapinzani

    Jan 23, 2018 10:42

    Utawala wa kiimla wa Bahrain unaendelea kutumia wanajeshi wake kuwakandamiza wananchi wanaoandamana kwa amani wakitaka utawala wa demokrasia katika nchi hiyo ndogo ya Ghuba ya Uajemi.

  • Kuuawa zaidi ya Wabaharain 200 kunatokana na ukandamizaji wa utawala wa Bahrain na kimya cha jamii ya kimataifa

    Kuuawa zaidi ya Wabaharain 200 kunatokana na ukandamizaji wa utawala wa Bahrain na kimya cha jamii ya kimataifa

    Jan 14, 2018 23:47

    Sheikh Mortadha al-Sandi, Kiongozi wa Harakati ya Wafa Al-Islami ya nchini Bahrain, sambamba na kubainisha kwamba utawala wa Aal-Khalifa unalipiza kisasi cha kisiasa dhidi ya wanamapinduzi wa nchi hiyo amesema kuwa, hadi sasa zaidi ya wanaharakati 200 wa nchi hiyo wameuawa kupitia ukandamizaji wa watawala dhidi ya wapinzani wao.

  • Mwaka 2017, ulikuwa mwaka wa kuendelea kutolewa hukumu za kunyongwa na kupokonywa uraia wananchi wa Bahrain

    Mwaka 2017, ulikuwa mwaka wa kuendelea kutolewa hukumu za kunyongwa na kupokonywa uraia wananchi wa Bahrain

    Jan 03, 2018 00:30

    Jumuiya ya Kitaifa na Kiislamu ya al-Wifaq ya Bahrain ambayo ndio harakati kubwa zaidi ya upinzani nchini humo, imeutaja mwaka 2017 uliomalizika kwamba, ulikuwa mwaka mbaya zaidi kwa upande wa usalama na ukandamizaji wapinzani nchini Bahrain.

  • Bahrain, kisiwa kilichosahaulika

    Bahrain, kisiwa kilichosahaulika

    Dec 26, 2017 03:52

    Mahakama ya Kijeshi ya Bahrain Jumatatu ilitoa hukumu ya kifo dhidi ya wafungwa sita kwa madai kuwa eti walihusika na njama za kutaka kumuua mkuu wa jeshi la Bahrain. Watuhumiwa wengine saba wamehukumiwa kifungo cha miaka saba jela.

  • Wasiwasi kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Bahrain

    Wasiwasi kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Bahrain

    Dec 22, 2017 03:48

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limebainisha wasiwasi wake kuhusu kuendelea ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Bahrain na kusema, jambo hilo linaashiria kuwa utawala wa Aal Khalifa unalenga kuzima sauti za wapinzani katika nchi hiyo ndogo ya Ghuba ya Uajemi.

  • Iran yaijibu Bahrain inayodai Quds si suala muhimu

    Iran yaijibu Bahrain inayodai Quds si suala muhimu

    Dec 22, 2017 00:54

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu hatua ya hivi karibuni ya waziri wa mambo ya nje wa Bahrain aliyeandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kuwa eti kadhia ya Quds na Palestina si muhimu bali ni suala la pembeni tu.

  • Mwakilishi wa Baraza la Maulama Bahrain: Waislamu wanahitajia umoja ili kuzifukuza Marekani na Israel katika eneo

    Mwakilishi wa Baraza la Maulama Bahrain: Waislamu wanahitajia umoja ili kuzifukuza Marekani na Israel katika eneo

    Dec 06, 2017 11:45

    Sheikh Abdullah al Daqaq mwakilishi wa Baraza la Maulama la Bahrain na ambaye pia ni mwakilishi wa Ayatullah Sheikh Issa Qassim wa nchi hiyo amesisitiza hapa Tehran juu ya umuhimu wa kuwa na umoja katika hali ya hivi sasa katika ulimwengu wa Kiislamu na kueleza kuwa Waislamu wanahitajia umoja ili kuzifukuza Marekani na Israel katika eneo.

  • Maandamano Bahrain kulaani utawala unaomdhulumu Sheikh Isa Qassim

    Maandamano Bahrain kulaani utawala unaomdhulumu Sheikh Isa Qassim

    Dec 02, 2017 23:15

    Maandamano mapya ya wananchi yameripotiwa kote Bahrain kwa lengo la kulaani utawala wa kiimla wa ukoo wa Aal Khalifa ambao unamdhulumu na kumnyima matibabu mwanazuoni maarufu wa Kiislamu Ayatullah Sheikh Isa Qassim.

  • Iran yakadhibisha 'madai ya kitoto' ya Bahrain kuhusu kushambuliwa bomba la mafuta

    Iran yakadhibisha 'madai ya kitoto' ya Bahrain kuhusu kushambuliwa bomba la mafuta

    Nov 13, 2017 00:49

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekanusha kile ilichokitaja kama 'madai ya kitoto' yaliyotolewa na Bahrain dhidi yake.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS