-
Al-Wifaq: Tuhuma dhidi ya Sheikh Ali Salman ni za uzushi na za ulipizaji kisasi kwa Qatar
Nov 03, 2017 04:07Shaikh Hussain Al Daihi, Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya al-Wifaq ya nchini Bahrain amesema kuwa, tuhuma dhidi ya Sheikh Ali Salman, Katibu Mkuu wa harakati hiyo, ni za kubuni na ni za kulipiziana kisasi Bahrain na Qatar.
-
Amnesty, HRW zalaani hukumu dhidi ya familia ya mwanaharakati wa Bahrain
Nov 01, 2017 01:00Mashirika ya kutetea haki za binadamu ya Human Rights Watch na Amnesty International yamekosoa vikali hatua ya mahakama moja ya Bahrain ya kutoa hukumu zisizo za kiuadilifu dhidi ya watu watatu wa familia ya mwanaharakati mashuhuri wa nchi hiyo anayeishi nje ya nchi.
-
Bahrain yataka Qatar ipokonywe uanachama wa baraza la PGCC
Oct 30, 2017 04:32Waziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain, Khalid bin Ahmed Aal Khalifah ametoa mwito wa kuondolewa Bahrain kwenye Baraza la Ushirikiano wa Ghuba ya Uajemi (PGCC).
-
Wimbi kubwa la utiaji mbaroni wanaharakati wa kisiasa nchini Bahrain
Oct 21, 2017 23:36Polisi ya utawala wa Aal Khalifa unaendelea kukabiliana kwa njia mbalimbali na wanaharakati wa kisiasa huko Bahrain huku wapinzani nchini humo wakiendelea kila uchao kuwekwa jela kwa visingizio visivyo na msingi.
-
Raia 15,000 wa Bahrain wanashikiliwa kwenye jela za utawala wa Aal Khalifa
Oct 21, 2017 04:14Mkuu wa Shirika la Amani kwa Ajili ya Demokrasia na Haki za Binadamu nchini Bahrain amesema raia 15,000 wametiwa nguvuni nchini humo katika kipindi cha miaka saba iliyopita.
-
Wabahrain waandamana kupinga kuanzishwa uhusiano na Israel
Oct 13, 2017 12:02Watu wa Bahrain wameandamana kulaani vikali mpango wa ufalme wa nchi hiyo ndogo ya Ghuba ya Uajemi kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Wafungwa wanawake wa Bahrain waanza mgomo wa kula
Oct 05, 2017 10:53Wafungwa wanawake katika jela moja nchini Bahran wameanza mgomo wa kula, kulalamikia ukandamizaji na hatua ya hivi karibu ya watawala wa Aal-Khalifa ya kuwawekea vizuizi vya kutembelewa na jamaa zao.
-
Utawala wa Aal Khalifa wa Bahrain umezitaka nchi za Kiarabu ziuhishe uhusiano na Israel
Sep 24, 2017 04:01Gazeti la Times limefichua kuwa nchi za Kiarabu za pambizoni mwa Ghuba ya Uajemi zimechukua hatua za awali kwa ajili ya kuutambua rasmi utawala wa Kizayuni kufutia wito uliotolewa na Sheikh Hamad bin Issa Aal Khalifa Mfalme wa Bahrain.
-
Utawala wa Aal Khalifa walaaniwa kwa kuhujumu madhihirisho ya Ashura nchini Bahrain
Sep 24, 2017 03:53Jumuiya ya Kiislamu ya Maelewano ya Kitaifa ya Bahrain (Al Wefaq) imelaani hatua ya vikosi vya usalama ya kuhujumu madhihirisho ya Ashura na kuendelea kuzingirwa nyumba ya mwanazuoni wa Kiislamu Sheikh Issa Qassim.
-
Askari wa Bahrain wazuia Swala ya Ijumaa kwa wiki ya 62 mtawalia huko al Deraz
Sep 22, 2017 12:53Askari usalama wa Bahrain leo Ijumaa wamezuia kufanyika Swala ya Ijumaa katika eneo la al Deraz katika mji mkuu wa nchi hiyo, Manama kwa wiki ya 62 mtawalia.