-
Hali bado ni tata, mgogoro waendelea, Qatar yakamata boti nyingine tatu za Bahrain
Sep 18, 2017 23:51Kamanda wa gadi ya ulinzi wa fukweni ya Bahrain amesema kuwa, vikosi vya ulinzi wa fukweni vya Qatar vimekamata boti tatu za nchi hiyo katika kipindi cha siku mbili zilizopita.
-
Mfalme wa Bahrain ataka nchi za Kiarabu ziache kususia Israel
Sep 18, 2017 09:35Mfalme Hamad bin Isa Aal Khalifa wa Bahrain amezitaka nchi za Kiarabu kuacha kuusussia utawala haramu wa Israeli.
-
Hatua kandamizi za usalama zashadidishwa Bahrain sambamba na kukaribia mwezi wa Muharram
Sep 12, 2017 03:21Utawala wa Aal Khalifa umeweka sheria kali za usalama nchini Bahrain sambamba na kukaribia mwezi mtukufu wa Muharram.
-
Amnesty International yalaani ukiukwaji haki za binadamu nchini Bahrain
Sep 07, 2017 03:19Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema utawala wa Bahrain si tu kuwa hautekelezi ahadi zake kuhusu kulinda haki za binadamu bali pia uanendelea kutumia mkono wa chuma kukandamiza maandamano ya amani ya wanaotaka mabadiliko ya kisiasa nchini humo.
-
Mzingiro wa eneo la Ad-Diraz watimiza siku 100 tangu Sheikh Isa Qassim awekwe kizuizini Bahrain
Sep 02, 2017 10:17Mzingiro uliowekwa na askari wa utawala wa Aal Khalifa katika eneo la Ad-Diraz yalipo makaazi ya Sheikh Isa Qassim, kiongozi wa kimaanawi wa mapinduzi ya wananchi wa Bahrain umetimiza siku mia moja.
-
Utawala wa Bahrain waendelea kuzuia Sala ya Ijumaa
Sep 01, 2017 10:33Vikosi vya usalama nchini Bahrain leo vimewazuia tena Waislamu wa eneo la Diraz kusali Sala ya Ijumaa.
-
Qassemi: Bahrain iachane na njama za kupotosha watu kuhusiana na malalamiko ya wananchi
Aug 25, 2017 23:24Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekanusha madai mapya ya utawala wa Aal Khalifa wa Bahrain dhidi ya Iran na kuwataka viongozi wa nchi hiyo ya Kifalme waachane na njama za kuwapotosha watu kuhusiana na malalamiko ya wananchi wa nchi hiyo.
-
Vyumba vya mauti nchini Bahrain na kushadidi uteswaji wa wapinzani
Aug 23, 2017 22:03Makundi matatu ya haki za binaadamu ya 'Taasisi ya Haki ya Kidemokrasia na Haki za Binadamu' 'Jumuiya ya Haki za Binaadamu nchini Bahrain' na 'Amani kwa ajili ya Demokrasia na Haki za Binaadamu' yametoa ripoti na kusema kuwa, utawala wa kifalme wa Aal-Khalifa umekuwa kila mara ukikandamiza maandamano ya amani ya wananchi na kuwatesa wapinzani.
-
Utawala wa Aal Khalifa wachukua hatua kali zaidi za kiusalama kuzunguka nyumba ya Sheikh Isa Qassim
Aug 23, 2017 03:11Vikosi vya usalama vya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Bahrain vimeendeleza ushadidishaji wa mzingiro wa kijeshi dhidi ya nyumba ya kiongozi wa kidini wa nchi hiyo Ayatullah Sheikh Isa Qassim kwa kuweka vizuizi vya matofali kandokando ya nyumba yake.
-
Bahrain yaendelea kuwatia mbaroni wanaharakati wa kisiasa wakiwamo wanawake
Aug 08, 2017 22:07Mkuu wa Taasisi ya Kisheria na Demokrasia (BIRD) nchini Bahrain, Ahmad al Wadai ametangaza kuwa, utawala wa kidikteta wa Aal Khalifa umemhamishia jela Zainab Marhun mwanaharakati wa kisiasa wa nchi hiyo.