-
Iran: Kama si juhudi za Hizbullah, genge la Daesh lingekuwa limezitwaa nchi za Kiarabu
Jul 19, 2017 14:13Msaidizi Maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, lau kama si msaada wa harakati ya Kiislamu ya Hizbullah nchini Lebanon, katika kupambana na kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) nchini Syria, basi kundi hilo lingekuwa linapeperusha bendera zake katika nchi za Kiarabu.
-
Kuendelea kushikiliwa wanaharakati wa kisiasa nchini Bahrain
Jul 12, 2017 04:02Katika mwendelezo wa kuwakandamiza wapinzani nchini Bahrain, mahakama ya nchi hiyo imetoa hukumu ya kifungo cha miaka miwili jela dhidi ya Nabil Rajab, Mkuu wa Kituo cha Haki za Binadamu nchini Bahrain kwa tuhuma za kueneza habari za uongo na uvumi kuhusiana na hali ya ndani ya nchi hiyo.
-
Mgomo wa kula wa wafungwa wa kisiasa nchini Bahrain
Jul 07, 2017 03:47Wafungwa wa kisiasa nchini Bahrain wanaoshikiliwa katika jela za kutisha za al Jau na al Hawd al Jaf nchini humo wameamua kuanzisha mgomo wa kutokula chochote ikiwa ni kulalamikia dhulma wanayofanyiwa na watawala madikteta wa nchi hiyo.
-
Wasiwasi wa UN kuhusu kushtadi ukandamizaji wa utawala wa Aal Khalifa dhidi ya wapinzani Bahrain
Jul 02, 2017 04:15Kamati ya Kimataifa ya Umoja wa Mataifa ya Kupinga Ukandamizaji imetangaza katika ripoti yake kuwa, wapinzani nchini Bahrain wanaendelea kufanyiwa ukandamizaji mateso makubwa.
-
Wafungwa wa Bahrain katika jela ya Jaw wapaza sauti wakiomba msaada
Jul 01, 2017 07:48Wafungwa waliopo katika jela ya Jaw nchini Bahrain wamewaomba raia wa nchi hiyo wawanusuru na dhulma na mateso wanaofanyiwa na watawala wa Aal Khalifa kufuatia siasa za ukandamizaji zinazotekelezwa kila uchao na utawala wa Bahrain.
-
Ukiukwaji haki za binadamu Bahrain sasa walalamikiwa Ulaya
Jun 16, 2017 04:22Kutokana na kuendelea ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanywa na utawala wa kiimla wa Aal Khalifa nchini Bahrain, Bunge la Ulaya sasa limevunja kimya chake na kulalamikia hatua hiyo.
-
Bahrain, UAE zinakiuka haki za binadamu baada ya mgogoro na Qatar
Jun 15, 2017 07:52Umoja wa Mataifa umezitahadharisha nchi kadhaa za Ghuba ya Uajemi ambazo zinakiuka haki za binadamu kufuatia mgogoro ulioibuka na Qatar.
-
Kuendelea wasiwasi kuhusu hatima ya kiongozi wa Waislamu wa Kishia nchini Bahrain
Jun 12, 2017 08:01Takribani wiki tatu zimepita tangu askari wa utawala wa Aal Khalifa walipovamia nyumba ya Ayatullah Sheikh Isa Qassim, kiongozi wa Waislamu wa Kishia nchini Bahrain na kumwekea mzingiro wa nyumbani mwanazuoni huyo. Katika hali ambayo hakuna taarifa zozote hivi sasa kuhusu hatima ya Sheikh Isa Qassim, wananchi wa Bahrain pamoja na fikra za waliowengi hasa katika Ulimwengu wa Kiislamu wanafuatilia kwa wasiwasi habari mbalimbali kuhusu hali ya mambo nchini humo.
-
Safari ya pili ya Hamad bin Isa Aal Khalifa nchini Misri katika kipindi cha chini ya miezi mitatu
Jun 10, 2017 03:56Huku mivutano na mitibuano ya Waarabu kwa Waarabu katika eneo la Ghuba ya Uajemi ikiwa imezidi kupamba moto, Mfalme wa Bahrain Hamad bin Isa Aal Khalifa, ambaye siku tatu zilizopita alifanya safari ambayo haikuwa ya kushangaza mjini Riyadh, Saudi Arabia, baada ya kupita muda wa chini ya miezi mitatu, siku ya Alkhamisi alielekea tena Cairo mji mkuu wa Misri na tab'an jana Ijumaa alikuwa mgeni wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
-
Kituo cha Haki za Binadamu cha Bahrain chakosoa utendaji haribifu wa utawala wa Aal Khalifa
Jun 07, 2017 15:34Kituo cha Haki za Binadamu nchini Bahrain kimekosoa na kulaani utendaji wa utawala wa Kifalme wa nchi hiyo wa Aal Khalifa na kutoa wito wa kusitishwa utendaji huo haribifu.