-
Mfungamano mkubwa baina ya vitendo vya Aal Khalifa na utawala wa Kizayuni katika kukandamiza wapinzani
Jun 07, 2017 06:07Serikali ya ukoo wa Aal Khalifa nchini Bahrain inafanya jinai kubwa dhidi ya raia wa kawaida, wanaharakati na shakhsia mbalimbali wa nchi hiyo kiasi kwamba vitendo vyake hivyo havina tofauti yoyote na jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina.
-
Qatar: Madai dhidi yetu si ya kweli na hayana msingi
Jun 05, 2017 07:45Baada ya Saudi Arabia, Misri, Imarati na Bahrain kukata uhusiano na Qatar mapema leo Jumatatu, wizara ya mambo ya nje wa Qatar imesema, imesikitishwa na hatua hiyo.
-
Kuongezeka hasira za Wabahrain dhidi ya Marekani
Jun 03, 2017 02:28Habari kutoka nchini Bahrain zinaonesha kuongezeka mno hasira za wananchi wa nchi hiyo dhidi ya Marekani kutokana na siasa zake za kuunga mkono ukandamizaji unaofanywa na utawala wa Aal Khalifa dhidi ya raia hususan kuendelea kuzingirwa nyumba ya Sheikh Isa Qassim kwa baraka kamili za Marekani.
-
Ghasia mpya Bahrain, Sheikh Qassim hajulikani aliko
May 29, 2017 07:11Askari wa utawala wa kiimla wa Bahrain wameendelea kuwashambulia wananchi wanaoandamana kumuunga mkono mwanazuoni wa Kiisalmu Sheikh Isa Qassim ambaye sasa ametoweka na hajulikani aliko.
-
Wasiwasi wa Umoja wa Ulaya kuhusiana na hali ya Bahrain
May 28, 2017 07:34Umoja wa Ulaya umetoa taarifa ambayo imeelezea wasiwasi wake kuhusu hali ya Bahrain na kutoa indhari kuhusiana na kuzidi kuwa mbaya hali ya nchi hiyo ya Ghuba ya Uajemi.
-
Utawala wa Aal-Khalifa wapiga marufuku watu kushiriki mazishi ya watu uliowaua
May 27, 2017 13:37Utawala wa kidikteta wa Aal-Khalifa nchini Bahrain umepiga marufu kujitokeza watu katika mazishi ya mashahidi waliouawa na askari wa utawala huo eneo la Dizar, kaskazini magharibi mwa mkoa wa Pwani wa nchi hiyo.
-
Wabahrain waendeleza maandamano ya kulaani udhalimu wa ufalme wa nchi hiyo
May 26, 2017 07:30Wananchi wa Bahrain wameendeleza maandamano ya kitaifa ya kulaani udhalimu na umwagaji damu unaoendelezwa na utawala wa Aal Khalifa katika kijiji cha Diraz ambacho ni makao ya mwanazuoni maarufu wa Kiislamu Sheikh Isa Qassim.
-
Utawala wa Aal Khalifa wapanga kuchukua hatua ya kijeuri ya kumbaidisha Sheikh Isa Qassim
May 25, 2017 07:52Utawala wa Aal Khalifa ukiungwa mkono na Saudi Arabia na Marekani umepanga kuchukua uamuzi wa kifidhuli na kijeuri wa kumbaidisha na kumpeleka uhamishoni Sheikh Isa Qassim, mwanazuoni mkubwa wa Waislamu wa madhehebu ya Shia, hatua ambayo endapo itatekelezwa itazidisha maradufu ghadhabu na hasira za wananchi wanamapinduzi wa Bahrain.
-
Hali si shwari Bahrain baada ya kuhujumiwa nyumba ya Sheikh Qassim
May 24, 2017 14:21Hali nchini Bahrain leo imeripotiwa kuwa mbaya siku moja baada wanajeshi wa ufalme wa Aal Khalifa kuvamia nyumba ya mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu Sheikh Isa Qassim na kuua wafuasi wake kadhaa.
-
Muqtada Sadr aitisha maandamano nje ya ubalozi wa Bahrain, Baghdad
May 24, 2017 07:53Sayyid Muqtada Sadr, Kiongozi wa Harakati ya Sadr ya Iraq amewataka wananchi wa taifa hilo la Kiarabu wakusanyike nje ya ubalozi wa Bahrain mjini Baghdad, kulalamikia ukandamizaji unaofanywa na utawala wa Aal-Khalifa dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia na viongozi wao nchini humo.