Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Bahrain

  • Wabahrain waandamana kupinga kuteuliwa balozi wa Israel nchini humo

    Wabahrain waandamana kupinga kuteuliwa balozi wa Israel nchini humo

    Jan 16, 2021 00:53

    Wananchi wa Bahrain jana Ijumaa walimiminika mabarabarani kushiriki maandamano ya kulaani uteuzi wa balozi mdogo wa utawala haramu wa Israel katika nchi hiyo ya Kiarabu, huo ukiwa ni muendelezo wa hatua za kuimarisha uhusiano baina ya Manama na Tel Aviv.

  • Sheikh Isa Qassim: Bahrain ni jela kubwa

    Sheikh Isa Qassim: Bahrain ni jela kubwa

    Jan 07, 2021 03:13

    Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Bahrain amesema kuwa dhulma na ukandamizaji unaofanywa na utawala wa ukoo wa Aal Khalifa dhidi ya taifa la Bahrain umeifanya nchi hiyo kuwa sawa na jela kubwa.

  • Sheikh Ali Salman; kutolewa hatiani na hatimaye kuhukumiwa kifungo cha maisha jela na utawala wa Bahrain

    Sheikh Ali Salman; kutolewa hatiani na hatimaye kuhukumiwa kifungo cha maisha jela na utawala wa Bahrain

    Jan 01, 2021 06:40

    Sambamba na kutimia mwaka wa sita tangu Sheikh Ali Salman awekwe korokoroni, wananchi wa Bahrain wameandamana kutaka Katibu Mkuu huyo wa harakati ya Kiislamu ya Al-Wifaq ya nchi hiyo aachiiwe huru.

  • Qatar yaliandikia barua Baraza la Usalama ikilalamika Bahrain kuingia katika anga yake bila ruhusa

    Qatar yaliandikia barua Baraza la Usalama ikilalamika Bahrain kuingia katika anga yake bila ruhusa

    Dec 24, 2020 23:00

    Qatar imeandika barua kwa Baraza la Usalama na kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ikiwafahamisha kuhusu kitendo cha ndege nne za Bahrain cha kukiuka anga ya Qatar.

  • Utata mwingi kuhusiana na kupatiwa ufumbuzi mzozo wa mataifa ya Kiarabu

    Utata mwingi kuhusiana na kupatiwa ufumbuzi mzozo wa mataifa ya Kiarabu

    Dec 18, 2020 23:30

    Katika kipindi cha mwezi mmoja wa hivi karibuni kumekuwa kukiripotiwa habari kuhusiana na kupatiwa ufumbuzi mgogoro baina ya Qatar na mataifa manne ya Kiarabu ya Saudi Arabia, Imarati, Misri na Bahrain.

  • Iran: Marekani inawashawishi wengine watoe muhanga kadhia ya Palestina

    Iran: Marekani inawashawishi wengine watoe muhanga kadhia ya Palestina

    Dec 12, 2020 03:51

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema Marekani inazishawishi nchi zingine kutoa muhanga kadhia ya Palestina na kuwapa mkono wezi kwa njia mbali mbali.

  • Shirika la ndege la Bahrain latiliana saini mikataba mitano na Israel

    Shirika la ndege la Bahrain latiliana saini mikataba mitano na Israel

    Dec 10, 2020 23:25

    Shirika la ndege la ukoo wa kifalme wa Aal Khalifa nchini Bahrain, umetia saini mikataba mitano na mashirika na taasisi mbalimbali za utawala wa Kizayuni wa Israel ambao mikono yake imejaa damu za wananchi madhlumu wa Palestina.

  • Mwakilishi wa mfalme wa Bahrain aingia msikiti wa Al Aqsa kwa kificho kwa kuwahofu Wapalestina

    Mwakilishi wa mfalme wa Bahrain aingia msikiti wa Al Aqsa kwa kificho kwa kuwahofu Wapalestina

    Nov 30, 2020 07:55

    Mwakilishi wa Mfalme wa Bahrain na wenzake aliofuatana nao wameingia msikiti wa Al Aqsa kwa kujificha wakihofu wasije wakatambuliwa na Wapalestina.

  • Malengo ya safari ya ujumbe wa kwanza rasmi wa Bahrain katika ardhi za Palestina

    Malengo ya safari ya ujumbe wa kwanza rasmi wa Bahrain katika ardhi za Palestina

    Nov 20, 2020 03:34

    Ujumbe wa kwanza rasmi wa Bahrain umetembelea ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ambazo zimepachikwa jina bandia la Israel, ukiongozwa na Abdullatif bin Rashid al Zayani, waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo.

  • Kamati za Muqawama Palestina: Watawala wa Bahrain wamelisaliti taifa la Palestina

    Kamati za Muqawama Palestina: Watawala wa Bahrain wamelisaliti taifa la Palestina

    Nov 20, 2020 03:27

    Msemaji wa Kamati za Muqawama za Palestina amelaani vikali safari ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Bahrain katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na zilizopewa jina bandia la Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS