-
Maandalizi ya Israel ya kuwafukuza Wapalestina wote katika mji wa Baitul Muqaddas
Dec 27, 2017 08:16Kutokana na baraka alizotoa Donald Trump kwa utawala wa Kizayuni kuhusiana na mji wa Baitul Muqaddas, bunge la utawala huo haramu limepanga kujadili rasimu ya sheria ya kuwafukuza Wapalestina wote katika mji huo kilipo kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Bunge la Iran lapitisha: Quds ni mji mkuu wa kudumu wa Palestina
Dec 24, 2017 16:42Wabunge wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran leo wamepitisha mpango wa dharura wa kuunga mkono Mapinduzi ya Kiislamu ya watu wa Palestina na kusisitiza kwamba Baitul Muqaddas utakuwa mji mkuu wa kudumu wa nchi ya Palestina.
-
Ushindi mwingine kwa Palestina, ISESCO yaunga mkono azimio la Umoja wa Mataifa
Dec 03, 2017 05:52Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Kiislamu (ISESCO) limeunga mkono azimio la siku chache zilizopita la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusiana na mji wa Baytul Muqaddas huko Palestina. Azimio hilo limetangaza rasmi kuwa Israel ni dola vamizi na halina haki yoyote ya kuendesha masuala sheria za kimahakama na kiidara katika mji huo.
-
Sala ya kwanza ya Ijumaa Mwezi wa Ramadhani katika Msikiti wa Al Aqsa
Jun 02, 2017 14:22Maelfu ya Wapalestina wameshiriki katika sala ya Ijumaa ya kwanza ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani katika Msikiti wa Al Aqsa kwenye mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel huku ya wanajeshi wa utawala huo wa Kizayuni wakiwa wameweka sheria kali za kuwabana Waislamu.
-
Ghadhabu ya Wapalestina kufuatia uchozezi wa Israel katika Quds Tukufu
May 30, 2017 07:47Wapalestina wameendelea kuonyesha ghadhabu zao kufuatia kitendo cha kichochezi cha utawala haramu wa Israel katika mji wa Quds Tukufu unaokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
-
Baitul Muqaddas, lengo la uvamizi na sera za kutaka kujitanua za Israel
Apr 26, 2017 12:50Wizara ya Makazi ya utawala wa Kizayuni wa Israel imepasisha mpango wa ujenzi wa nyumba mpya za walowezi wa Kiyahudi katika ardhi ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu ya kaskazini magharibi mwa Quds tukufu licha ya upinzani mkubwa wa kimataifa.
-
Pakistan yapinga kuhamishwa ubalozi wa Marekani kutoka Tel Aviv kwenda Quds
Jan 19, 2017 14:25Mwakilishi wa Kudumu wa Pakistan katika Umoja wa Mataifa amepinga hatua yoyote ya uhamishaji wa ubalozi wa Marekani kutoka Tel-Aviv, Israel kwenda Baytul-Muqaddas na kwamba, kitendo hicho ni ukiukaji wa wazi wa azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Sheikh Sabri: Kuuhamishia ubalozi wa Marekani Quds ni kutangaza vita na Wapalestina
Dec 17, 2016 04:24Khatibu wa Sala ya Ijumaa katika msikiti mtukufu wa Al-Aqsa, Palestina inayokaliwa kwa mabavu amesema, kuhamishiwa Baitul Muqaddas ubalozi wa Marekani ulioko Tel Aviv na kuitambua rasmi Quds kuwa mji mkuu wa utawala bandia wa Israel ni sawa na kutangaza vita na Wapalestina.
-
Mufti wa Baitul Muqaddas: Kuzuru msikiti wa Al-Aqsa kumekuwa "wajibu" kwa Waislamu na Waarabu
Nov 29, 2016 03:36Mufti wa Baitul Muqaddas Sheikh Muhammad Hussein ametaka zichukuliwe hatua zaidi na Umma wa Kiislamu na Kiarabu za kuuhami msikiti mtukufu wa Al-Aqsa.
-
Radiamali ya Iran kuhusu kupigwa marufuku adhana misikitini huko Quds
Nov 17, 2016 04:24Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amezitolea wito jamii ya kimataifa na nchi za Kiislamu kufanya juhudi ili kuzuia kubadilishwa utambulisho wa Kiislamu wa Baitul Muqaddas.