-
Nchi zinazopambana na Boko Haram zakosolewa kwa kushindwa kulitokomeza kundi hilo
Apr 30, 2016 23:51Nchi kadhaa za magharibi mwa Afrika zilizoanzisha muungano wa kijeshi wa kupambana na Boko Haram zinakosolewa kutokana na kushindwa kulitokomeza kundi hilo la kigaidi.
-
Wito wa kuwepo azma ya kupambana na makundi ya kigaidi Afrika
Apr 28, 2016 10:44Mkuu wa kikosi cha Kiafrika cha kupambana na kundi la kigaidi la Boko Haram amezitaka nchi zinazoshiriki katika operesheni ya kijeshi dhidi ya kundi hilo kuzidisha azma ya kukabiliana na ugaidi.
-
Nchi zinazoshiriki katika operesheni ya kijeshi dhidi ya kundi la Boko Haram zatakiwa kutekeleza ahadi zao
Apr 27, 2016 09:53Mkuu wa vikosi vya Kiafrika vya kupambana na kundi la kigaidi la Boko Haram amezitaka nchi zinazoshiriki katika operesheni ya kijeshi dhidi ya wanamgambo hao kufungamana na ahadi zao.
-
Jeshi la Nigeria lawaua wapiganaji 10 wa kundi la Boko Haram katika jimbo la Borno
Apr 25, 2016 02:33Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa, limewauwa wanachama wasiopungua 10 wa kundi la kigaidi la Boko Haram mashariki mwa jimbo la Borno lililoko kaskazini mashariki mwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Wanachama 10 wa Boko Haram wauawa Nigeria
Apr 23, 2016 03:40Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa limeua wanachama 10 wa kundi la kigaidi la Boko Haram katika operesheni iliyofanyika kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Wasichana waliotekwa na Boko Haram, kisingizio cha propaganda za Marekani
Apr 22, 2016 23:49Mwakilishi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa amesisitiza udharura wa kufuatiliwa hatima ya wasichana waliotekwa nyara na kundi la Boko Haram nchini Nigeria.
-
Miaka miwili yapita tangu Boko Haram kuteka wasichana Chibok
Apr 15, 2016 03:30Ni miaka miwili sasa tangu magaidi wakufurishaji wa Boko Haram walipowateka nyara wasichana wa shule ya serikali katika mji wa Chibok, kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Nigeria yasisitiza udharura wa kupambana na ugaidi
Apr 14, 2016 23:46Wizara ya Mambo ya Nje ya Nigeria imesisitiza udharura wa kuzidishwa ushirikiano unaohitajika kati ya nchi za eneo la magharibi mwa Afrika kwa ajili ya kupambana na kundi la Boko Haram.
-
NIgeria: Upo udharura wa kuzidishwa mawasiliano na ushirikiano ili kupambana na ugaidi
Apr 13, 2016 23:23Wizara ya Mambo ya Nje ya Nigeria imesisitiza juu ya ulazima wa kuzidishwa mawasiliano na ushirikiano unaohitajika kati ya nchi za eneo ili kupambana na kundi la Boko Haram.
-
Boko Haram wanatumia watoto katika hujuma za kigaidi
Apr 12, 2016 11:56Kundi la magaidi wakufurishaji wa Boko Haram nchini Nigeria wanazidi kuwatumia watoto wadogo kusheheni bomu na kujiripua katika hujuma za kigaidi.