Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Boko Haram

  • Makumi ya mateka wakombolewa kutoka mikononi mwa Boko Haram

    Makumi ya mateka wakombolewa kutoka mikononi mwa Boko Haram

    Feb 16, 2016 11:34

    Makumi ya watu waliokuwa wanashikiliwa na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram wamekombolewa nchini Nigeria. Sani Othman, Msemaji wa jeshi la Nigeria ameyasema hayo kupitia ripoti maalumu juu ya mafanikio ya operesheni za jeshi la nchi hiyo na Cameroon na kuongeza kuwa, askari wa nchi hizo mbili wamefanikiwa kukomboa mateka 112 kutoka mikononi mwa kundi hilo kupitia operesheni za pamoja.

  • Nigeria yatahadharisha kuhusu kuzidi kupenya kundi la Boko Haram barani Afrika

    Nigeria yatahadharisha kuhusu kuzidi kupenya kundi la Boko Haram barani Afrika

    Feb 15, 2016 21:37

    Mkuu wa Kituo cha Upashaji Habari cha Taifa cha Nigeria ametahadharisha kuhusu hatari ya kuzidi kujitanua kundi la Boko Haram barani Afrika.

  • Kofi Annan: Jinai za kundi la kigaidi la Boko Haram barani Afrika ni za kutisha

    Kofi Annan: Jinai za kundi la kigaidi la Boko Haram barani Afrika ni za kutisha

    Feb 14, 2016 23:39

    Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, jinai za kundi la kigaidi la Boko Haram barani Afrika ni za kutisha.

  • Kofi Annan: Jinai za kundi la kigaidi la Boko Haram barani Afrika ni za kutisha

    Kofi Annan: Jinai za kundi la kigaidi la Boko Haram barani Afrika ni za kutisha

    Feb 14, 2016 23:39

    Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, jinai za kundi la kigaidi la Boko Haram barani Afrika ni za kutisha.

  • Makumi wauawa Nigeria katika mashambulio ya Boko Haram

    Makumi wauawa Nigeria katika mashambulio ya Boko Haram

    Feb 14, 2016 03:38

    Watu 30 wameuawa katika mashambulio mapya yaliyofanywa na kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram katika vijiji viwili vya kaskazini mwa Nigeria.

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS